Mahadhi Asema Haya Baada Ya Bao Lake Dhidi Ya St Louis

Baada ya kumalizika kwa mchezo wa klabu bingwa barani Afrika baina ya Yanga SC ilioyoibuka na ushindi wa bao 1 – 0 dhidi ya  St Lous mfu...


Baada ya kumalizika kwa mchezo wa klabu bingwa barani Afrika baina ya Yanga SC ilioyoibuka na ushindi wa bao 1 – 0 dhidi ya  St Lous mfungaji wa bao hilo ambaye ni kiungo mshambuliaji wa timu hiyo, Juma Mahadhi amesema kuwa alikwenda kutimiza majukumu aliyoelekezwa na mwalimu wake.

Mahadhi ameyasema hayo kupitia mahojiano yake na chombo cha habari cha Azam tv.
“Nimefata maelekezo ya mwalimu baada ya kuangalia kitu gani kinakosekana ndani pale na ndicho nilichokwenda kufanya,”amesema Mahadhi.

Juma Mahadhi ameongeza “Naamini tutajipanga vizuri kwa sababu sisi tulikuwa hatuwajui na wana wanaulinzi imara sana naamini tutafanya vizuri mchezo ujao.”

Juma Mahadhi ambaye ni kiungo mshambuliaji ndani ya mabingwa hao wa kihistoria wa ligi kuu soka Tanzania Bara aliingia uwanjani kipindi cha pili akichukua nafasi ya Ibrahim Ajib aliyekwenda benchi.

COMMENTS

Name

Entertainment,110,Fashion,5,Health,5,Job,11,Lifestyle,2,Makala,6,Music,4,News,177,Sports,98,Videos,14,
ltr
item
Habari Today: Mahadhi Asema Haya Baada Ya Bao Lake Dhidi Ya St Louis
Mahadhi Asema Haya Baada Ya Bao Lake Dhidi Ya St Louis
https://1.bp.blogspot.com/-jidElaZ8GEc/Wn_NGIr9KXI/AAAAAAAAByc/DPFD5dgXhAIJslp7xZoY5EmQDkO5Quo1QCLcBGAs/s640/maadhi.PNG
https://1.bp.blogspot.com/-jidElaZ8GEc/Wn_NGIr9KXI/AAAAAAAAByc/DPFD5dgXhAIJslp7xZoY5EmQDkO5Quo1QCLcBGAs/s72-c/maadhi.PNG
Habari Today
http://habaritodaytzz.blogspot.com/2018/02/mahadhi-asema-haya-baada-ya-bao-lake.html
http://habaritodaytzz.blogspot.com/
http://habaritodaytzz.blogspot.com/
http://habaritodaytzz.blogspot.com/2018/02/mahadhi-asema-haya-baada-ya-bao-lake.html
true
7010127043980995099
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy