Makamu Rais Wa Marekani Agoma Kula Meza Moja Na Dada Rais Wa Korea Kaskazini

Makamu rais wa Marekani, Mike Pence amegoma kuwepo katika chakula cha jioni na kiongozi wa serikali ya Korea Kaskazini Kim Yong-nam. K...


Makamu rais wa Marekani, Mike Pence amegoma kuwepo katika chakula cha jioni na kiongozi wa serikali ya Korea Kaskazini Kim Yong-nam.

Kwa mujibu wa chombo cha habari cha Yo hap Pence alionana kidogo na bwana Kim wakati wakijaribu kukwepana kuonana uso kwa uso.
Wawili hao walikutana katika sherehe za ufumbuzi wa mashindano ya michezo ya Olympiki ya msimu wa baridi. Michezo hiyo inaendelea wakati ambapo kuna mvutano juu ya mpango wa nyuklia wa Korea Kaskazini.


Bwana Pence na Kim Yong-nam walikuwa wenyeji wa Rais wa Korea Kusini kabla ya sherehe haijaanza huko Pyeongchang, hata hivyo Makamu rais wa Marekani alikaa kwenye tafrija hiyo kwa dakika tano tu na kuondoka.

COMMENTS

Name

Entertainment,110,Fashion,5,Health,5,Job,11,Lifestyle,2,Makala,6,Music,4,News,177,Sports,98,Videos,14,
ltr
item
Habari Today: Makamu Rais Wa Marekani Agoma Kula Meza Moja Na Dada Rais Wa Korea Kaskazini
Makamu Rais Wa Marekani Agoma Kula Meza Moja Na Dada Rais Wa Korea Kaskazini
https://4.bp.blogspot.com/-R-MKI9d_77U/Wn6mi0OYNbI/AAAAAAAABoA/4FY5nG0JQQEZpx3Ur8ExCYPTiva1kQ35gCLcBGAs/s640/makamu.jpg
https://4.bp.blogspot.com/-R-MKI9d_77U/Wn6mi0OYNbI/AAAAAAAABoA/4FY5nG0JQQEZpx3Ur8ExCYPTiva1kQ35gCLcBGAs/s72-c/makamu.jpg
Habari Today
http://habaritodaytzz.blogspot.com/2018/02/makamu-rais-wa-marekani-agoma-kula-meza.html
http://habaritodaytzz.blogspot.com/
http://habaritodaytzz.blogspot.com/
http://habaritodaytzz.blogspot.com/2018/02/makamu-rais-wa-marekani-agoma-kula-meza.html
true
7010127043980995099
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy