TIMU ya Manchester united imeinyuka Huddersfield kwa bao 2-0, game iliyopigwa pale Old Traford jioni ya leo huku Romeo Lukaku na Alexi...
TIMU ya Manchester united imeinyuka Huddersfield kwa bao 2-0, game iliyopigwa pale Old Traford jioni ya leo huku Romeo Lukaku na Alexis Sanches wakiing’arisha timu yao.
Mpaka game inamalizika, Man U walikuwa wakiongoza kumiliki mpira kwa wasilimia 78
huku Huddersfield wakiwa na asilimia 28pekee.
COMMENTS