Maneno ya nahodha Nadiri Haroub ‘Cannavaro’ baada ya mazoezi ya mwisho huko Shelisheli

Mara baada ya kumalizika kwa mazoezi ya mwisho katika uwanja wa Stade Linite huko Victoria Shelisheli nahodha wa mabingwa wa tetezi wa l...


Mara baada ya kumalizika kwa mazoezi ya mwisho katika uwanja wa Stade Linite huko Victoria Shelisheli nahodha wa mabingwa wa tetezi wa ligi kuu soka Tanzania Bara Yanga SC, Nadiri Haroub ‘Cannavaro’ amesema kuwa kila mchezaji anahamu ya kucheza mechi ya kesho na kuwataka Watanzania kuwaombea ili kuweza kuchomoza na ushindi.

Video Player
00:02
01:00
Tunamshukuru Mungu tumemamaliza salama mazoezi na kila mchezaji anahamu ya kucheza mechi ya kesho na tunawaomba watanzania kwa ujumla wana East Afrika watuombee duwa ili tuweze kufanya vizuri na sisi ahadi yetu ni kuhakikisha tunafanya vizuri ili tuweze kuendelea katika mashindano haya makubwa.
Tulipata goli moja lakini siyo dogo inamaana tukipata lingine tunakuwa tupo mbali kwahiyo tunachotakiwa sisi ni kucheza tu kwa tahadhari ili tuweze kufanya vizuri katika mchezo wa kesho na morali ya wachezaji ipo vizuri na tupo tayari.

Mabingwa hao wa Tanzania Bara wanajiandaa na mchezo wa marudiano dhidi ya St Louis hapo kesho siku ya Jumatano huku wakiwa na faida ya ushindi wa nyumbani wa bao 1-0.

COMMENTS

Name

Entertainment,110,Fashion,5,Health,5,Job,11,Lifestyle,2,Makala,6,Music,4,News,177,Sports,98,Videos,14,
ltr
item
Habari Today: Maneno ya nahodha Nadiri Haroub ‘Cannavaro’ baada ya mazoezi ya mwisho huko Shelisheli
Maneno ya nahodha Nadiri Haroub ‘Cannavaro’ baada ya mazoezi ya mwisho huko Shelisheli
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEigWvM_DlTpY-qsg-ORf-xGWt3elqVklth-wbcRSXVEAwpkRcXPJN9xwqws1KivOZuulrxcFDk3Gz7eqTkN98TNqWnQVK1FZw2qqm_nJaOD8GYpembxHmmZobkhgBXP1St8UbV6-U8UOFFM/s640/nadir-haroub-cannavaro_qyq8yr7i2ens16w9hh25i83i9.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEigWvM_DlTpY-qsg-ORf-xGWt3elqVklth-wbcRSXVEAwpkRcXPJN9xwqws1KivOZuulrxcFDk3Gz7eqTkN98TNqWnQVK1FZw2qqm_nJaOD8GYpembxHmmZobkhgBXP1St8UbV6-U8UOFFM/s72-c/nadir-haroub-cannavaro_qyq8yr7i2ens16w9hh25i83i9.jpg
Habari Today
http://habaritodaytzz.blogspot.com/2018/02/maneno-ya-nahodha-nadiri-haroub.html
http://habaritodaytzz.blogspot.com/
http://habaritodaytzz.blogspot.com/
http://habaritodaytzz.blogspot.com/2018/02/maneno-ya-nahodha-nadiri-haroub.html
true
7010127043980995099
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy