Mchezaji wa soka wa zamani wa Timu ya Taifa ya Argentina na Klabu ya Barcelona Diego Maradona amenyimwa VISA ya kuingia nchini Marekani ...
Mchezaji wa soka wa zamani wa Timu ya Taifa ya Argentina na Klabu ya Barcelona Diego Maradona amenyimwa VISA ya kuingia nchini Marekani baada ya kudaiwa kumtolea maneno ya Kashfa Rais wa nchi hiyo Donald Trump.
Diego Maradona na Rais Donald Trump
Akiwa kwenye mahojiano siku za hivi karibuni Maradona alikaririwa akimuita Raisi Donald Trump ‘chirolita’ jina ambalo kwa nchi za Amerika ya Kusini wanalitafsiri kama Kikaragosi.
Kesi hiyo inayomkabili Maradona kwa sasa itasikilizwa na wakili wake na bado hadi sasa hakuna taarifa rasmi kama bado gwiji huyo wa soka duniani ataendelea kunyimwa VISA.
COMMENTS