Mashabiki Wa Simba SC waache kuizomea Yanga SC Jumamosi – MANARA

Mkuu wa kitengo cha habari na mawasiliano ya klabu ya Simba, Haji Manara ametoa wito kwa mashabiki, wapenzi na wanachama wa timu hiyo k...


Mkuu wa kitengo cha habari na mawasiliano ya klabu ya Simba, Haji Manara ametoa wito kwa mashabiki, wapenzi na wanachama wa timu hiyo kuacha kuwazomea hasimu wao Yanga SC katika mchezo wao wa klabu bingwa Afrika raundi ya kwanza watakao cheza dhidi ya St Lous ya Seychelles.

Haji Manara ameyasema hayo kupitia kikao chake na waandishi wa habari hii leo jijini Dar es Salaam.
“Natoa wito kwa washabiki wa Simba watakaoenda uwanjani kwenye mechi ya Yanga siku ya Jumamosi wasiizomee, tuzomeane kwenye ligi ya nyumbani..cc sote ni watanzania na tunawakilisha nchi,”amesema Manara.


Haji Manara ameyasema hayo wakati ambao timu ya Simba SC nayo ikikabiliwa na kibarua kizito siku ya Jumapili ambapo itaivaa Gendarmerie Nationale FC ya Djibouti.

COMMENTS

Name

Entertainment,110,Fashion,5,Health,5,Job,11,Lifestyle,2,Makala,6,Music,4,News,177,Sports,98,Videos,14,
ltr
item
Habari Today: Mashabiki Wa Simba SC waache kuizomea Yanga SC Jumamosi – MANARA
Mashabiki Wa Simba SC waache kuizomea Yanga SC Jumamosi – MANARA
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgA4_UPkvYUH62LixQyRF0KgfEhErjhZWfESxR3xVRF3ktKbVXdmXlaJT8S4ZCV6BEsKOh0WMRL93Q_YxLoha8kjhM7Nij1RUUgMoH19ii-nvsjSHLSplhtwH4kmSHUiAZo2RkEcj_k47Fp/s640/manana.png
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgA4_UPkvYUH62LixQyRF0KgfEhErjhZWfESxR3xVRF3ktKbVXdmXlaJT8S4ZCV6BEsKOh0WMRL93Q_YxLoha8kjhM7Nij1RUUgMoH19ii-nvsjSHLSplhtwH4kmSHUiAZo2RkEcj_k47Fp/s72-c/manana.png
Habari Today
http://habaritodaytzz.blogspot.com/2018/02/mashabiki-wa-simba-sc-waache-kuizomea.html
http://habaritodaytzz.blogspot.com/
http://habaritodaytzz.blogspot.com/
http://habaritodaytzz.blogspot.com/2018/02/mashabiki-wa-simba-sc-waache-kuizomea.html
true
7010127043980995099
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy