Ikiwa imepita Wiki moja tu baada ya msanii huyo kushambuliwa na mashabiki kwenye mtandao wa Twitter mara baada tu alipo achana na aliye...
Ikiwa imepita Wiki moja tu baada ya msanii huyo kushambuliwa na mashabiki kwenye mtandao wa Twitter mara baada tu alipo achana na aliyekuwa mpenzi wake Bonang
Wiki hii rapa huyo ameamua kuposti lyrics za Kanye West kwenye ukurasa wa Twitter huku lyrics hizo zikiashiria maumivu na unywaji pombe.
Mashabiki wamempa mawazo mbalimbali na wengine wakimshauri ajikaze na aendele kusonga mbele.
COMMENTS