MBOSSO Aanza Kuchekelea Mafanikio WCB

Usiku wa kuamkia January 29 mwaka huu label ya WCB walimtambulisha msanii mpya ambaye ni Mbosso aliyekuwa Yamoto Band. Licha ya Mbosso ...


Usiku wa kuamkia January 29 mwaka huu label ya WCB walimtambulisha msanii mpya ambaye ni Mbosso aliyekuwa Yamoto Band.

Licha ya Mbosso kutambulishwa usiku huu pia siku hii hiyo ndipo wimbo wake wa kwanza ‘Watakubali’ ulitoka official baada ya hapo awali kushirikishwa na WCB katika ngoma yao ya pamoja ‘Zilipendwa’.

Ikiwa ni zaidi ya wiki moja tangu wimbo huo utoke, leo February 8 umeweza kufikisha views milioni moja katika mtandao wa YouTube kitu ambacho Mbosso anasema hakuwahi kukifikiria.

“Sikuwahi kufikiria hata siku moja kama na Mimi kuna siku nitatoa wimbo wangu na ukapokelewa kwa mikono miwili kiasi hichi, ni Baraka tu za Mwenyezi Mungu na support kubwa mnayonipa wadau na mashabiki wa mziki,” amesema .


Video ya Mbosso ‘Watakubali’ ilitoka January 28 mwaka huu.

COMMENTS

Name

Entertainment,110,Fashion,5,Health,5,Job,11,Lifestyle,2,Makala,6,Music,4,News,177,Sports,98,Videos,14,
ltr
item
Habari Today: MBOSSO Aanza Kuchekelea Mafanikio WCB
MBOSSO Aanza Kuchekelea Mafanikio WCB
https://2.bp.blogspot.com/-qjSYGHHIiEg/Wnxry9rm9iI/AAAAAAAABQE/wF77XAiZQk8hv7yj3cQzz7MyNv5e_yTaACLcBGAs/s640/Mbosso-e1518091894515.jpg
https://2.bp.blogspot.com/-qjSYGHHIiEg/Wnxry9rm9iI/AAAAAAAABQE/wF77XAiZQk8hv7yj3cQzz7MyNv5e_yTaACLcBGAs/s72-c/Mbosso-e1518091894515.jpg
Habari Today
http://habaritodaytzz.blogspot.com/2018/02/mbosso-aanza-kuchekelea-mafanikio-wcb.html
http://habaritodaytzz.blogspot.com/
http://habaritodaytzz.blogspot.com/
http://habaritodaytzz.blogspot.com/2018/02/mbosso-aanza-kuchekelea-mafanikio-wcb.html
true
7010127043980995099
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy