MH. LEMA Atoa Neno Baada Ya TAMBWE Kufariki Dunia ‘ Utaendelea kuishi ’

Mbunge wa Arusha Mjini, Godbless Lema baada ya kupata taarifa ya kifo cha Kada wa Chadema Tambwe Hizza , mbunge huyo ameibuka na kusem...


Mbunge wa Arusha Mjini, Godbless Lema baada ya kupata taarifa ya kifo cha Kada wa Chadema Tambwe Hizza , mbunge huyo ameibuka na kusema kuwa kada huyo aliishi kwa hofu.


Lema leo amesema kuwa utu na haki ndio kifo halisi katika maisha yetu.

Watu wengi wanafikiri kufa ni jambo baya na gumu,lakini ukweli ni kwamba kuishi bila wajibu,utu na haki ndio kifo halisi katika maisha yetu,wewe Tambwe uliishinda hofu .Utaendelea kuishi,”

ameandika Lema kwenye ukurasa wake wa Twitter.


Hata hivyo jana alishiriki kampeni za kumnadi Salum Mwalimu(Mgombea Ubunge jimbo la Kinondoni) Tandale mapema jioni kabla ya Vikao vya chama.

COMMENTS

Name

Entertainment,110,Fashion,5,Health,5,Job,11,Lifestyle,2,Makala,6,Music,4,News,177,Sports,98,Videos,14,
ltr
item
Habari Today: MH. LEMA Atoa Neno Baada Ya TAMBWE Kufariki Dunia ‘ Utaendelea kuishi ’
MH. LEMA Atoa Neno Baada Ya TAMBWE Kufariki Dunia ‘ Utaendelea kuishi ’
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiMatrgSltXSwJgaaFPNFPYOtYqZo0pg50qmhsKBxgBVnmz97zqzQyPfdTo99lPsCrFLxKwmbNzXY7vF0ObTZ5lxvSKIxKblHYPD8g8Bi-KUp8DvURccf-KcEA8e5OdU_3XdoYhhlb9jxo-/s640/lema.JPG
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiMatrgSltXSwJgaaFPNFPYOtYqZo0pg50qmhsKBxgBVnmz97zqzQyPfdTo99lPsCrFLxKwmbNzXY7vF0ObTZ5lxvSKIxKblHYPD8g8Bi-KUp8DvURccf-KcEA8e5OdU_3XdoYhhlb9jxo-/s72-c/lema.JPG
Habari Today
http://habaritodaytzz.blogspot.com/2018/02/mh-lema-atoa-neno-baada-ya-tambwe.html
http://habaritodaytzz.blogspot.com/
http://habaritodaytzz.blogspot.com/
http://habaritodaytzz.blogspot.com/2018/02/mh-lema-atoa-neno-baada-ya-tambwe.html
true
7010127043980995099
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy