Vingozi wa Chadema wakiripoti kituoni hapo Jeshi la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam limewaachia kwa dhamana viongozi waandamiz...
Waliripoti kituoni hapo kufuatia wito uliotolewa na jeshi la polisi jana kutokana na kifo cha mwanafunzi, Akwilina aliyefariki kwa kupigwa risasi na jeshi la polisi.
Kwa mujibu wa ITV, Viongozi hao walioripoti leo ni pamoja na Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Mh.Freeman Mbowe,Katibu Mkuu CHADEMA Dokta Vicent Mashinji,Naibu Katibu Mkuu Bara John Mnyika, Naibu Katibu Mkuu Zanzibar Salum Mwalimu,Mbunge wa Tarime mji Mh.Estar Matiko,Mbunge wa Tarime vijini John Heche na Mbunge Kawe Mh.Halima Mdee.
Viongozi hao wametakiwa kufika kituoni hapo jamanne wiki ijayo saa nne asubuhi.
COMMENTS