Mkanda wa ngono wa Black Chyna wavuja

Mkanda wa ngono wa mwanamitindo na video vixen kutoka Marekani, Black Chyna umevuja mtandanio. Mkanda huo ambao ulianza kuvuja jana kup...


Mkanda wa ngono wa mwanamitindo na video vixen kutoka Marekani, Black Chyna umevuja mtandanio.

Mkanda huo ambao ulianza kuvuja jana kupitia mtandao wa kijamii wa Twitter umemuonyesha sura mrembo huyo akiwa na kijana ambaye mpaka sasa hajafahamika ni nani.

Video hiyo iliyoachiwa mtandaoni ilikuwa na muda wa dakika 1 na sekunde 23. Baada ya kutokea hali hiyo Mwanasheria wa mrembo huyo Lisa Bloom alitumia ukurasa wake wa mtandao wa kijamii wa Twitter kulaani kitendo hicho cha udhalilishaji kwa mteja wake.

“Revenge porn — posting explicit images without the consent of everyone in those images — is a crime, a civil wrong, and a form of domestic abuse.It’s also a way to try to slut shame women for being sexual. Girls have killed themselves over revenge porn. It’s not a joke,” ameandika Lisa.


Mnamo 2017 Chyna aliingia katika ugomvi na mzazi mwenzake Rob Kardashian baada ya kuziachia picha zake za utupu mtandaoni hali iliyowafanya waingia katika mgogoro mkubwa.

COMMENTS

Name

Entertainment,110,Fashion,5,Health,5,Job,11,Lifestyle,2,Makala,6,Music,4,News,177,Sports,98,Videos,14,
ltr
item
Habari Today: Mkanda wa ngono wa Black Chyna wavuja
Mkanda wa ngono wa Black Chyna wavuja
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgl79VAesj75tjXEyP2locAhziiRpna6qcVQ19SZ69V21QzyOUv6-hD6yLkFelyAtN2J_8cb9w9XHmsPZI0-HAw5gI_Pk8MsN74Mudkgb4Bac0DU8LkyBWrRfY8r6Tl7-hW2pyLadC9nra8/s640/black.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgl79VAesj75tjXEyP2locAhziiRpna6qcVQ19SZ69V21QzyOUv6-hD6yLkFelyAtN2J_8cb9w9XHmsPZI0-HAw5gI_Pk8MsN74Mudkgb4Bac0DU8LkyBWrRfY8r6Tl7-hW2pyLadC9nra8/s72-c/black.jpg
Habari Today
http://habaritodaytzz.blogspot.com/2018/02/mkanda-wa-ngono-wa-black-chyna-wavuja.html
http://habaritodaytzz.blogspot.com/
http://habaritodaytzz.blogspot.com/
http://habaritodaytzz.blogspot.com/2018/02/mkanda-wa-ngono-wa-black-chyna-wavuja.html
true
7010127043980995099
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy