MKE Afariki Kwa Kugongwa Na Treni Akipiga ' SELFIE ' Na Mumewe Kwenye Reli

Leo Februari 9, 2018 kuna hii ya kuifahamu kuhusu Mwanamke mmoja baada ya kunywa pombe na kulewa huku wakifurahia wakati waliokuwa nao,...


Leo Februari 9, 2018 kuna hii ya kuifahamu kuhusu Mwanamke mmoja baada ya kunywa pombe na kulewa huku wakifurahia wakati waliokuwa nao, kwenye Mji wa Bangkon nchini Thailand akiwa na rafiki yake amegongwa na kupoteza maisha huku mwenzie akijeruhiwa vibaya baada ya kugongwa na treni walipokuwa wanapiga ‘selfie’.
Rafiki huyo ambaye amejeruhiwa ameelezea mkasa huo na kusema walikuwa wamekunywa pombe na kulewa na ndiyo Marehemu akamwambia wakapige picha kwenye reli lakini hawakuwa wameona treni inayokuja upande mwingine.

 Tukio hilo lilitokea katika kituo cha treni cha Samsen February 8, 2018 na inaelezwa kuwa binti huyo aliyefariki alikuwa ana miaka 24 na aliumia vibaya mguu na alipoteza maisha akiwa anapatiwa matibabu hospitali.

COMMENTS

Name

Entertainment,110,Fashion,5,Health,5,Job,11,Lifestyle,2,Makala,6,Music,4,News,177,Sports,98,Videos,14,
ltr
item
Habari Today: MKE Afariki Kwa Kugongwa Na Treni Akipiga ' SELFIE ' Na Mumewe Kwenye Reli
MKE Afariki Kwa Kugongwa Na Treni Akipiga ' SELFIE ' Na Mumewe Kwenye Reli
https://1.bp.blogspot.com/-NxpyP9Mybmk/Wn6ZAC-IbgI/AAAAAAAABk8/cgprNLjIgLEXqtXUzOY4C8sTfaTZUnwcgCLcBGAs/s640/mkeeeeeeeeeeeee.jpg
https://1.bp.blogspot.com/-NxpyP9Mybmk/Wn6ZAC-IbgI/AAAAAAAABk8/cgprNLjIgLEXqtXUzOY4C8sTfaTZUnwcgCLcBGAs/s72-c/mkeeeeeeeeeeeee.jpg
Habari Today
http://habaritodaytzz.blogspot.com/2018/02/mke-afariki-kwa-kugongwa-na-treni.html
http://habaritodaytzz.blogspot.com/
http://habaritodaytzz.blogspot.com/
http://habaritodaytzz.blogspot.com/2018/02/mke-afariki-kwa-kugongwa-na-treni.html
true
7010127043980995099
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy