MKIKITA Wafurahiya Huduma Nzuri SPICE HOTEL LIMITED DAR

 SPICE HOTEL LIMITED Viongozi wa Mtandao wa Kijani kibichi Tanzania (Mkikita), wakiongozwa na Mwenyekiti wa Bodi, Dk. Kissui Stev...


 SPICE HOTEL LIMITED


Viongozi wa Mtandao wa Kijani kibichi Tanzania (Mkikita), wakiongozwa na Mwenyekiti wa Bodi, Dk. Kissui Steven Kissui (Kushoto), Mkurugenzi Mtendaji wa mtandao huo, Adam Ngamange (wa nne kushoto), wakiwa nje ya Spice Hotel Limited, baada ya kufanya mkutano na waandishi wa habari hoteni hapo, Dar es Salaam jana

Uongozi wa Mkikita umefurahishwa na huduma za hoteli hiyo iliyopo makutano ya mitaa ya Narung'ombe na Lumumba Karikaoo Dar es Salaam na kuahidi mikutano mingine ijayo kuendelea kufanyia hapo.

Baada ya kumaliza mkutano, uongozi wa Mtandao huo ulimtembelea Mmiliki wa Hoteli Ofisi kwake, Bw. Mwangaba kwa lengo la kufahamiana pamoja na kumpa pongezi kutokana na hoteli hiyo kuwapatia huduma nzuri.


Mwangaba mwenye hoteli hiyo ya kisasa yenye vyumba 67 vyenye hadhi tofauti alishukuru na kuwakaribisha tena kwenda hapo kwa shughuli mbalimbali. Pia alikubali kujiunga na mtandao ili awe anashiriki kwenye shughuli mbalimbali zinazofanywa na mtandao huo na kunufaika nazo pia. Kwa habari zaidi kuhusu hoteli hiyo soma maelezo yaliyopo mwisho wa ukurasa huu.


Viongozi wa Mkikita wakiwa katika picha ya pamoja na Mmiliki wa Hoteli ya Spice, Mwangaba (wa pili kushoto). Kutoka kushoto ni Mwenyekiti wa Bodi, Dk. Kissui S. Kissui, Meneja wa Mashamba, Catherina, Ofisa wa Logistic, Morris Mwita, CEO Adam Ngamange, Ofisa Uhusiano, Neema Fredrick na Meneja Masoko, Deo.


CEO Adam Ngamange akizungumza katika mkutano na wanahabari, kuhusu maandalizi ya mafunzo ya kilimo biashara cha Papai Salama kwenye ukumbi wa mikutano wa hoteli hiyo.


Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Hope For All, Askofu Edger Mwamfupe akizungumza kuhusu makubaliano ya ushirikiano waliosaini na Mkikita kwa lengo la kuwakomboa wananchi masikini Tanzania.

Mfanyabiashara Adamjee akielezea jinsi anavyokiendesha kwa faida kubwa kilimo cha pilipili kichaa

Mwenyekiti wa Bodi ya Mkikita, Dk. Kissui akizungumza katika mkutano huo, kuhusu kazi mbalimbali zinazofanywa na mtandao huo.
Ofisa Uhusiano wa Mkikita, Neema, akielezea utaratibu unaotumika kuwasajili watu wanaotaka kuhudhuria mafunzo ya kilimo kibiashara cha Papai Salama
Mmiliki wa Spice Hotel, Mwangaba (kulia), akizungumza alipokutana na viongozi wa Mkikita kwa lengo la kufahamiana



COMMENTS

Name

Entertainment,110,Fashion,5,Health,5,Job,11,Lifestyle,2,Makala,6,Music,4,News,177,Sports,98,Videos,14,
ltr
item
Habari Today: MKIKITA Wafurahiya Huduma Nzuri SPICE HOTEL LIMITED DAR
MKIKITA Wafurahiya Huduma Nzuri SPICE HOTEL LIMITED DAR
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEg280fKAgTt_RREByv7ANqoRVIOtCF9s80mretV1rz2bDQtCG3NJVpV1VINJry8NEFSH0w-h4hSCIKNifYJ38uxc0b5ebLtsJgWwBGMgAn6CfIgBnZjV00UatbBWQfkApJ9ZxKOHnTslVI7/s640/hot+1.JPG
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEg280fKAgTt_RREByv7ANqoRVIOtCF9s80mretV1rz2bDQtCG3NJVpV1VINJry8NEFSH0w-h4hSCIKNifYJ38uxc0b5ebLtsJgWwBGMgAn6CfIgBnZjV00UatbBWQfkApJ9ZxKOHnTslVI7/s72-c/hot+1.JPG
Habari Today
http://habaritodaytzz.blogspot.com/2018/02/mkikita-wafurahiya-huduma-nzuri-spice.html
http://habaritodaytzz.blogspot.com/
http://habaritodaytzz.blogspot.com/
http://habaritodaytzz.blogspot.com/2018/02/mkikita-wafurahiya-huduma-nzuri-spice.html
true
7010127043980995099
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy