Msanii Wa Kiume Ninayempenda Tanzania Ni Alikiba – Miss Tz 2016, DIANA

Miss Tanzania mwaka 2016, Diana Edward amesema msanii wa kiume Bongo ambaye anakubali muziki wake ni Alikiba. Mrembo huyo ameiambia Pla...


Miss Tanzania mwaka 2016, Diana Edward amesema msanii wa kiume Bongo ambaye anakubali muziki wake ni Alikiba.

Mrembo huyo ameiambia Planet Bongo ya EA Radio kuwa anampenda Alikiba kwa sababu ametulia.
“Msanii wa kiume ninayempenda Tanzania ni Alikiba, nampenda kwa kuwa nadhani ametulia najua wengine nao wametulia ila mimi namuongelea yeye kuwa ametulia na mambo yake haweki wazi kama wengine hivyo mimi namuona ametulia,” amesema Diana.


Hata hivyo ameonya kuwa anajua tatizo la Watanzania ni mabigwa wa kubadili vitu ukisema hivi wao wanabadili vingine lakini hicho ndicho anakipenda.

COMMENTS

Name

Entertainment,110,Fashion,5,Health,5,Job,11,Lifestyle,2,Makala,6,Music,4,News,177,Sports,98,Videos,14,
ltr
item
Habari Today: Msanii Wa Kiume Ninayempenda Tanzania Ni Alikiba – Miss Tz 2016, DIANA
Msanii Wa Kiume Ninayempenda Tanzania Ni Alikiba – Miss Tz 2016, DIANA
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEj-yiQbeI6Gf92b0IyOi76jLJ5lz82ZENJEBCzMh6ful6Q8yKXvocvwGAppUHiTD7MfuV7C6pcC1ffa1mnIB1wEt9KsCBkxkAU1vyDZEUpuc7Jedsyu_qrwT51JnQu1Md7JG_x6odHWU_QS/s640/za-leoa.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEj-yiQbeI6Gf92b0IyOi76jLJ5lz82ZENJEBCzMh6ful6Q8yKXvocvwGAppUHiTD7MfuV7C6pcC1ffa1mnIB1wEt9KsCBkxkAU1vyDZEUpuc7Jedsyu_qrwT51JnQu1Md7JG_x6odHWU_QS/s72-c/za-leoa.jpg
Habari Today
http://habaritodaytzz.blogspot.com/2018/02/msanii-wa-kiume-ninayempenda-tanzania.html
http://habaritodaytzz.blogspot.com/
http://habaritodaytzz.blogspot.com/
http://habaritodaytzz.blogspot.com/2018/02/msanii-wa-kiume-ninayempenda-tanzania.html
true
7010127043980995099
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy