Muhubiri Adai Wanawake Ni Chanzo Cha Uovu Duniani

Muhubiri wa kanisa la Seventh Day Adventist nchini Rwanda, Nicolas Niyibikora huenda akajikuta mikononi mwa polisi mara baada ya kudai k...


Muhubiri wa kanisa la Seventh Day Adventist nchini Rwanda, Nicolas Niyibikora huenda akajikuta mikononi mwa polisi mara baada ya kudai kuwa wanawake ndio chanzo cha maovu ulimwenguni.

Kupitia mahubiri Yake yaliyorushwa na kituo cha redio cha Amazing Grace, Niyibikora aliwambia wanawake kwamba hawapendwi na Mungu na kuonya kuwa hakuna lolote jema linaloweza kupatikana kutoka kwao.

Kutokana na mahubiri hayo kukasirisha wengi kanisa la Seventh Day  limefanya juhudi za kujitenga na Niyibikora ambaye wanadai aliipigwa marufuku kwa miaka mitano iliyopita.

Kwa mujibu wa gazeti la New Times tayari mahubiri hayo yamewakasirisha wanaharakati huku wale wanaounga mkono usawa wa kijinsia wakiitisha mkutano na vyombo vya habari na kuonya kuwa maneneo kama hayo yanaweza kusababisha chuki na mzozo miongoni mwa raia wa Rwanda iwapo hakuna hatua ya haraka itachukuliwa.

Source: BBC

COMMENTS

Name

Entertainment,110,Fashion,5,Health,5,Job,11,Lifestyle,2,Makala,6,Music,4,News,177,Sports,98,Videos,14,
ltr
item
Habari Today: Muhubiri Adai Wanawake Ni Chanzo Cha Uovu Duniani
Muhubiri Adai Wanawake Ni Chanzo Cha Uovu Duniani
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEg4gqCAEslbqp8C2fgQ4Ci6slnVxj3dW79tVvvvfN2FiieNy0dzKnWqO6abmUi92dx3b94eeTi6FRZGG3LtGUVKwt7lWBkZtD0AG5FESZgQqxIRHwDWZ_oAx6i73-pXsGc1N49iW4coWgqm/s640/12.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEg4gqCAEslbqp8C2fgQ4Ci6slnVxj3dW79tVvvvfN2FiieNy0dzKnWqO6abmUi92dx3b94eeTi6FRZGG3LtGUVKwt7lWBkZtD0AG5FESZgQqxIRHwDWZ_oAx6i73-pXsGc1N49iW4coWgqm/s72-c/12.jpg
Habari Today
http://habaritodaytzz.blogspot.com/2018/02/muhubiri-adai-wanawake-ni-chanzo-cha.html
http://habaritodaytzz.blogspot.com/
http://habaritodaytzz.blogspot.com/
http://habaritodaytzz.blogspot.com/2018/02/muhubiri-adai-wanawake-ni-chanzo-cha.html
true
7010127043980995099
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy