Mvulana Wa Miaka 16 Akamatwa Kwa Kumuua Mtoto Wa Wiki Sita

Mvulana mwenye umri wa miaka 16 ameshtakiwa kwa mauaji kufuatia kifo cha mtoto mwenye wiki sita huko Southampton nchini Uingereza. Wap...


Mvulana mwenye umri wa miaka 16 ameshtakiwa kwa mauaji kufuatia kifo cha mtoto mwenye wiki sita huko Southampton nchini Uingereza.

Wapelelezi kutoka kituo cha Polisi cha Hampshire walimshtaki kijana huyo siku ya Jumanne usiku baada ya kukamatwa asubuhi ya siku hiyo.

Kijana huyo anatarajiwa kufikishwa katika mahakama ya juu mjini Southampton siku ya leo.
Kukamatwa kwa kijana huyo kulikuja baada ya maafisa na wauguzi wa afya kuwaita Polisi majira ya saa 11 alfajiri ambapo wauguzi waliletewa mtoto huyo kwa ajili ya matibabu na huyo kijana.

Hata hivyo mtoto huyo aliyelepekwa katika Hospitali hiyo kuu huko Southampton alifariki baadaye.

Pia mwanamke mwenye umri wa miaka 18 alikamatwa kwa mashka ya mauaji na bado na Polisi wanaendelea kumchuguza ila sasa ameachiwa.

COMMENTS

Name

Entertainment,110,Fashion,5,Health,5,Job,11,Lifestyle,2,Makala,6,Music,4,News,177,Sports,98,Videos,14,
ltr
item
Habari Today: Mvulana Wa Miaka 16 Akamatwa Kwa Kumuua Mtoto Wa Wiki Sita
Mvulana Wa Miaka 16 Akamatwa Kwa Kumuua Mtoto Wa Wiki Sita
https://4.bp.blogspot.com/-HZq7Wq61akU/WoRPL3TlttI/AAAAAAAACXo/kLAxccZqoUEmACdUvkiuZHFRxzr7dfMaQCLcBGAs/s640/sita.jpg
https://4.bp.blogspot.com/-HZq7Wq61akU/WoRPL3TlttI/AAAAAAAACXo/kLAxccZqoUEmACdUvkiuZHFRxzr7dfMaQCLcBGAs/s72-c/sita.jpg
Habari Today
http://habaritodaytzz.blogspot.com/2018/02/mvulana-wa-miaka-16-akamatwa-kwa-kumuua.html
http://habaritodaytzz.blogspot.com/
http://habaritodaytzz.blogspot.com/
http://habaritodaytzz.blogspot.com/2018/02/mvulana-wa-miaka-16-akamatwa-kwa-kumuua.html
true
7010127043980995099
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy