Mwanasheria Mkuu Wa Kenya Ang’atuka

Mwanasheria Mkuu wa Kenya, Prof. Githu Muigai amejiuzulu baada ya kutumikia nafasi hiyo kwa miaka sita na nusu. Rais Uhuru Kenyatta ame...


Mwanasheria Mkuu wa Kenya, Prof. Githu Muigai amejiuzulu baada ya kutumikia nafasi hiyo kwa miaka sita na nusu.

Rais Uhuru Kenyatta amemshukuru Prof. Muigai kwa kutumikia nafasi hiyo na yake itachukuliwa na jaji Paul Kihara. Kupitia ukurasa wake wa twitter Rais Kenyatta amethibutsha kujiuluzu wa Prof Githu.
“Nimepokea kwa majuto uamuzi wa mwanasheria mkuu Githu Muigai. Namshukuru kwa huduma yake katika kipindi cha miaka sita na nusu. Nimemteua jaji Paul Kiharara Kariuki” ameandika Rais Kenyatta

Kabla ya uteuzi wake kuwa mwanasheria Mkuu Prof. Muigia alikuwa mmoja wa wamiliki wa kampuni ya mawakili ya Mohammed Muigai na amekuwa mjumbe maalum wa Umoja wa Mataifa katika kukabiliana na ubaguzi wa rangi.

COMMENTS

Name

Entertainment,110,Fashion,5,Health,5,Job,11,Lifestyle,2,Makala,6,Music,4,News,177,Sports,98,Videos,14,
ltr
item
Habari Today: Mwanasheria Mkuu Wa Kenya Ang’atuka
Mwanasheria Mkuu Wa Kenya Ang’atuka
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgVtgnTbO4v_FluEfXBJH0LXTQp7DAWqOS6nR3XNzU_wVOclBpUj6QkUKRe5SWHNWhBJTwAD3C6aSf7qXVqzAY4ds6WKjstUNBwayZ7Xa0KODeDbzg2oJpywUGf9Uec-2Wm9gO7NurY9HRf/s640/juuuu.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgVtgnTbO4v_FluEfXBJH0LXTQp7DAWqOS6nR3XNzU_wVOclBpUj6QkUKRe5SWHNWhBJTwAD3C6aSf7qXVqzAY4ds6WKjstUNBwayZ7Xa0KODeDbzg2oJpywUGf9Uec-2Wm9gO7NurY9HRf/s72-c/juuuu.jpg
Habari Today
http://habaritodaytzz.blogspot.com/2018/02/mwanasheria-mkuu-wa-kenya-angatuka.html
http://habaritodaytzz.blogspot.com/
http://habaritodaytzz.blogspot.com/
http://habaritodaytzz.blogspot.com/2018/02/mwanasheria-mkuu-wa-kenya-angatuka.html
true
7010127043980995099
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy