Mwasiti Aeleza Sababu Ya Kufanya Siri Mahusiano Yake, Anachojifunza Kutoka Kwa AY

Mwanamuziki Mwasiti amefunguka sababu ya kufanya siri mahusiano yake ya kimapenzi. Hitmaker huyo wa ngoma ‘Kaa Nao’ ameiambia The Playlis...


Mwanamuziki Mwasiti amefunguka sababu ya kufanya siri mahusiano yake ya kimapenzi.

Hitmaker huyo wa ngoma ‘Kaa Nao’ ameiambia The Playlist ya Times Fm kuwa hapendi kumuweka wazi mpenzi wake ila pindi atakapoolewa ndipo watu wataweza kumuoana.

Mwasiti ameendelea kwa kusema kuwa amevutiwa na AY kwa namna alivyofanya mahusiano yake siri hadi alipofikikia kipindi cha kukaribia kufunga ndoa ndipo akayaweka wazi.
“Watu mmeanza kumjua girl friend wa Ambwene mwishoni mwishoni huku ambapo sasa nipo tayari kuoa halafu ndoa pap!, kwa hiyo yaani ndio nayataka hayo maisha,” amesema Mwasiti.
Katika hatua nyingine amezungumzia mipango ya kuolewa mwaka huu kwa kusema ni kitu ambacho kinaweza kutokea.

COMMENTS

Name

Entertainment,110,Fashion,5,Health,5,Job,11,Lifestyle,2,Makala,6,Music,4,News,177,Sports,98,Videos,14,
ltr
item
Habari Today: Mwasiti Aeleza Sababu Ya Kufanya Siri Mahusiano Yake, Anachojifunza Kutoka Kwa AY
Mwasiti Aeleza Sababu Ya Kufanya Siri Mahusiano Yake, Anachojifunza Kutoka Kwa AY
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiWDqKGRB8tps85R2-lNLTfZ4EogetxR9sugfoIwW0iCHBTRGeDt8VVZQ3OSJKwcT7Tf4KVovt2FD2EFrCjD0hIgrSix4kWBDrJ-athuxwpiPV25h7GjrXBOdK_f9r0fXC8wcHcgatuw_UJ/s640/Mwasit.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiWDqKGRB8tps85R2-lNLTfZ4EogetxR9sugfoIwW0iCHBTRGeDt8VVZQ3OSJKwcT7Tf4KVovt2FD2EFrCjD0hIgrSix4kWBDrJ-athuxwpiPV25h7GjrXBOdK_f9r0fXC8wcHcgatuw_UJ/s72-c/Mwasit.jpg
Habari Today
http://habaritodaytzz.blogspot.com/2018/02/mwasiti-aeleza-sababu-ya-kufanya-siri.html
http://habaritodaytzz.blogspot.com/
http://habaritodaytzz.blogspot.com/
http://habaritodaytzz.blogspot.com/2018/02/mwasiti-aeleza-sababu-ya-kufanya-siri.html
true
7010127043980995099
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy