Mwili wa Akwilina kuagwa chuo cha NIT Mabibo

Mwili wa aliyekuwa mwanafunzi wa Chuo cha Taifa cha Usafirishaji (NIT), Akwilina Akwiline unatarajiwa kuagwa February 22 katika viwanja ...


Mwili wa aliyekuwa mwanafunzi wa Chuo cha Taifa cha Usafirishaji (NIT), Akwilina Akwiline unatarajiwa kuagwa February 22 katika viwanja vya NIT, Mabibo jijini Dar es Salaam.

kaka wa marehemu, Moi Kiyeyeu amesema baada ya kuaga mwili huyo siku ya Alhamisi, atazikwa mkoani Kilimanjaro Februari 23, 2018.

Akwilina aliyefariki dunia Februari 16, 2018 baada ya kupigwa risasi akiwa kwenye daladala wakati polisi wakiwatawanya waandamanaji ambao ni wafuasi wa Chadema
“Tutamuaga ndugu yetu siku ya Alhamisi katika viwanja vya chuo cha NIT pale Mabibo na siku hiyo hiyo tutaanza safari kuelekea Rombo-Mashati Olele mkoani Kilimanjaro na mazishi tutafanya Ijumaa,” amesema Kiyeyeu.

COMMENTS

Name

Entertainment,110,Fashion,5,Health,5,Job,11,Lifestyle,2,Makala,6,Music,4,News,177,Sports,98,Videos,14,
ltr
item
Habari Today: Mwili wa Akwilina kuagwa chuo cha NIT Mabibo
Mwili wa Akwilina kuagwa chuo cha NIT Mabibo
https://4.bp.blogspot.com/-RUWwkbiMus8/WovkUrssfsI/AAAAAAAAClM/0nFxgHuaL-Mz1M_cKfOZ_oyg8KDVBbIPQCLcBGAs/s640/aq.jpg
https://4.bp.blogspot.com/-RUWwkbiMus8/WovkUrssfsI/AAAAAAAAClM/0nFxgHuaL-Mz1M_cKfOZ_oyg8KDVBbIPQCLcBGAs/s72-c/aq.jpg
Habari Today
http://habaritodaytzz.blogspot.com/2018/02/mwili-wa-akwilina-kuagwa-chuo-cha-nit.html
http://habaritodaytzz.blogspot.com/
http://habaritodaytzz.blogspot.com/
http://habaritodaytzz.blogspot.com/2018/02/mwili-wa-akwilina-kuagwa-chuo-cha-nit.html
true
7010127043980995099
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy