MZEE AKILIMALI Alitolea Uvivu Benchi La YANGA SC, CHIRWA Kukosa Penati Mfululizo

KATIBU wa Baraza la Wazee wa Yanga, Mzee Ibrahim Ak­ilimali, amelitaka benchi la ufundi la timu hiyo linaloongozwa na Mzam­bia, George ...


KATIBU wa Baraza la Wazee wa Yanga, Mzee Ibrahim Ak­ilimali, amelitaka benchi la ufundi la timu hiyo linaloongozwa na Mzam­bia, George Lwandamina, kuhakikisha wanatafuta mbadala wa mchezaji atakayekuwa anapiga pen­alti badala ya Mzambia, Obrey Chirwa.

Mzee Akilimali ameyasema hayo kufuatia mshambuliaji huyo kuwa na mfululizo wa kukosa penalti ambapo juzi Jumamosi alikosa tena wakati Yanga iliposhinda bao 1-0 dhidi ya St Louis katika mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika uliopigwa kwenye Uwanja wa Taifa, Dar.

Kwa mwaka huu, Chirwa amepiga jumla ya penalti tano ambapo kati ya hizo kakosa nne dhidi ya URA kwenye Kombe la Mapinduzi, Ihefu katika Kombe la FA, Njombe Mji kwenye Ligi Kuu Bara na St Louis. Aliyopata ni dhidi ya Ihefu ambapo kwenye mch­ezo huo alipiga penalti mbili.
Mzee Akilimali alisema kuwa kwa upande wake analitupia lawama benchi la ufundi la timu hiyo kwa kuendelea kumpa penalti mchezaji huyo licha ya kuto­kuwa na bahati nazo hali inay­owafanya kupata wakati mgumu kupata matokeo.

“Kwangu siwezi kumlaumu Chirwa hata kidogo, wa kulaumiwa ni benchi zima la ufundi likion­gozwa na Lwan­damina kwa sababu sioni haja ya kuendelea kumtumia penalti aendelee kupiga mchezaji huyo maana hana bahati nazo hata kidogo.


“Siku zote amekuwa akikosa penalti katika michezo muhimu na hii ni (mechi) ya tatu kwake lakini bado amekuwa akikosa, sasa kwa nini wasibadilishe na ukiangalia katika mchezo wa jana (juzi) yeye ndiyo ameighar­imu timu kwa kiasi kikubwa lakini walimu sijui hawakuliona hilo au vipi,” alisema Mzee Akili­mali.

COMMENTS

Name

Entertainment,110,Fashion,5,Health,5,Job,11,Lifestyle,2,Makala,6,Music,4,News,177,Sports,98,Videos,14,
ltr
item
Habari Today: MZEE AKILIMALI Alitolea Uvivu Benchi La YANGA SC, CHIRWA Kukosa Penati Mfululizo
MZEE AKILIMALI Alitolea Uvivu Benchi La YANGA SC, CHIRWA Kukosa Penati Mfululizo
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjjisKEpRqDy5DBsjpYbciUa457m3la4P4DCSMAcEJQoRCEVFEaM2Llmokjs1zrhT0hJj0ijOlNKKea5KBoGJSOs5UfcOYEMuGl0IRR6_6ZkVg11Pz-IgLl83psxuN168uyOHD-sPZyXQ0A/s640/mzee-akilimaiki-768x512.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjjisKEpRqDy5DBsjpYbciUa457m3la4P4DCSMAcEJQoRCEVFEaM2Llmokjs1zrhT0hJj0ijOlNKKea5KBoGJSOs5UfcOYEMuGl0IRR6_6ZkVg11Pz-IgLl83psxuN168uyOHD-sPZyXQ0A/s72-c/mzee-akilimaiki-768x512.jpg
Habari Today
http://habaritodaytzz.blogspot.com/2018/02/mzee-akilimali-alitolea-uvivu-benchi-la.html
http://habaritodaytzz.blogspot.com/
http://habaritodaytzz.blogspot.com/
http://habaritodaytzz.blogspot.com/2018/02/mzee-akilimali-alitolea-uvivu-benchi-la.html
true
7010127043980995099
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy