Mzee Mwinyi Atengua Kauli Ya ‘ Tanzania Kichwa Cha Mwendawazimu ’ Adai Kwa Sasa Ni Vinyozi

Baada ya kauli ya ‘Tanzania kichwa cha mwendawazimu kila mtu anaweza kujifunzia kunyoa’ kudumu kwa miaka 30, Hatimaye Rais Mstaafu wa aw...


Baada ya kauli ya ‘Tanzania kichwa cha mwendawazimu kila mtu anaweza kujifunzia kunyoa’ kudumu kwa miaka 30, Hatimaye Rais Mstaafu wa awamu ya pili Alhaji Ali Hassan Mwinyi amekiri wazi kufuta kauli hiyo.

Mzee Mwinyi ambaye alikuwa mgeni rasmi kwenye mchezo wa kombe la Shirikisho barani Afrika kati ya Simba SC dhidi ya Gendarmerie Tnale kutoka Djibouti, alifuta kauli hiyo baada ya mchezo huo kumalizika.

Nimeshuhudia mchezo mzuri na sasa nafuta lile neno kwamba Tanzania ni kichwa cha mwendawazimu kila anaetaka kujifundisha kunyoa atunyoe sisi, sasa nyie ndio vinyozi.” alisema Mzee mwinyi kwenye mahojiano na vyombo vya Habari baada ya mchezo huo.

Klabu ya Simba jana ilifanikiwa kuwachabanga Gendarmerie Tnale goli 4-0 kwenye mchezo ambao ulikuwa wa kusisimua kwa mashabiki wa Msimbazi.

COMMENTS

Name

Entertainment,110,Fashion,5,Health,5,Job,11,Lifestyle,2,Makala,6,Music,4,News,177,Sports,98,Videos,14,
ltr
item
Habari Today: Mzee Mwinyi Atengua Kauli Ya ‘ Tanzania Kichwa Cha Mwendawazimu ’ Adai Kwa Sasa Ni Vinyozi
Mzee Mwinyi Atengua Kauli Ya ‘ Tanzania Kichwa Cha Mwendawazimu ’ Adai Kwa Sasa Ni Vinyozi
https://2.bp.blogspot.com/-pqENwcN9hfA/WoIJvMon1nI/AAAAAAAAB-A/AKAZjczUZPAt0JcB5KInz1Np6HKEV_3oACLcBGAs/s640/Ali-Hassan-Mwinyi-Former-President-United-Republic-of-Tanzania.jpg
https://2.bp.blogspot.com/-pqENwcN9hfA/WoIJvMon1nI/AAAAAAAAB-A/AKAZjczUZPAt0JcB5KInz1Np6HKEV_3oACLcBGAs/s72-c/Ali-Hassan-Mwinyi-Former-President-United-Republic-of-Tanzania.jpg
Habari Today
http://habaritodaytzz.blogspot.com/2018/02/mzee-mwinyi-atengua-kauli-ya-tanzania.html
http://habaritodaytzz.blogspot.com/
http://habaritodaytzz.blogspot.com/
http://habaritodaytzz.blogspot.com/2018/02/mzee-mwinyi-atengua-kauli-ya-tanzania.html
true
7010127043980995099
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy