Nampenda Mwanamke Mweupe Mwenye Nywele Ndefu – Tunda Man

Ikiwa leo ni siku ya wapendanao (valentine day), msanii wa muziki Bongo, Tunda Man amefunguka sifa ambazo alikuwa akizihitaji kwa mwanam...


Ikiwa leo ni siku ya wapendanao (valentine day), msanii wa muziki Bongo, Tunda Man amefunguka sifa ambazo alikuwa akizihitaji kwa mwanamke.

Muimbaji huyo ambaye ameshaoa ameaimbia Funiko Base ya Radio Five kuwa mwanamke mweupe na mwenye nywele ndefu ni moja ya sifa zilizomvutia kutoka kwa aliyekuwa mpenzi wake hadi kupelekea kumuoa.
“Chakwanza nilikuwa napenda mwanamke ambaye ni mweupe, cha pili nilikuwa napenda mwanamke mwenye nywele ndefu, sipendi mwenye nywele fupi, kiufupi sipindi nywele fupi, nywele ndefu nakuwa sizichoki, unatamani kuziona kila muda,” amesema Tunda Man.


Tunda Man ametaja sifa nyingine alizokuwa akizihitaji ni pamoja na mwanamke aliyesoma ili kuweza kushauriana na kushirikiana katika mambo kadha wakadha, awe anajua dini, pia asiwe mfupi .

COMMENTS

Name

Entertainment,110,Fashion,5,Health,5,Job,11,Lifestyle,2,Makala,6,Music,4,News,177,Sports,98,Videos,14,
ltr
item
Habari Today: Nampenda Mwanamke Mweupe Mwenye Nywele Ndefu – Tunda Man
Nampenda Mwanamke Mweupe Mwenye Nywele Ndefu – Tunda Man
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgxuGpT4wBTzInkQ20XjTma1zoKq5MdjCVQOsiQ6WuVND7hp9K-az5Dkr184UqMqixBx_fhrtL_yBKSeI0rQxtEeh8ejhVKXuyQbLPJ0r3DCexDL3l8ToacSgCAct-xXMn8tLSBPsHrLp2k/s640/tundaman.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgxuGpT4wBTzInkQ20XjTma1zoKq5MdjCVQOsiQ6WuVND7hp9K-az5Dkr184UqMqixBx_fhrtL_yBKSeI0rQxtEeh8ejhVKXuyQbLPJ0r3DCexDL3l8ToacSgCAct-xXMn8tLSBPsHrLp2k/s72-c/tundaman.jpg
Habari Today
http://habaritodaytzz.blogspot.com/2018/02/nampenda-mwanamke-mweupe-mwenye-nywele.html
http://habaritodaytzz.blogspot.com/
http://habaritodaytzz.blogspot.com/
http://habaritodaytzz.blogspot.com/2018/02/nampenda-mwanamke-mweupe-mwenye-nywele.html
true
7010127043980995099
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy