Msanii wa muziki Linah ameachia video ya ngoma yake mpya iitwayo ‘Same Boy’ aliyomshirikisha Rachel. Audio ya ngoma hiyo imefanywa na Te...

Msanii wa muziki Linah ameachia video ya ngoma yake mpya iitwayo
‘Same Boy’ aliyomshirikisha Rachel. Audio ya ngoma hiyo imefanywa na
Teaz & Pablo, wakati video imeongozwa na Director Ivan.
COMMENTS