Ngoma Nayoisikiliza Ni ‘ Seduce Me ’, Sio Ya Kishamba – Bibi Cheka

Bila shaka unamkumbuka Bibi Cheka aliyefanya vizuri na ngoma ‘Ni Wewe’ aliyoshirikiana na Mh. Temba katika ‘kundi’ la Mkubwa na Wanawe. ...


Bila shaka unamkumbuka Bibi Cheka aliyefanya vizuri na ngoma ‘Ni Wewe’ aliyoshirikiana na Mh. Temba katika ‘kundi’ la Mkubwa na Wanawe.

Bibi Cheka katika mahojiano na Planet Bongo ya EA Radio amesema katika kipindi hiki ambacho amekuwa kimya ngoma ya Bongo Flava ambayo imemvutia zaidi ni Seduce Me ya Alikiba.

“Ngoma nayoisikiliza naipenda ni ya Alikiba (Seduce Me), imeingia ya kimjini mjini sio ya kishamba, ile ilitoka halafu siku ya pili inatoka ya Diamond, naikubali sana,” amesema.

Katika hatua nyingine amesema ukimya wake umeshababishwa na kuugua lakini hakupata msaada wowote kutoka kwa watu aliokuwa akifanya nao kazi ndani ya Mkubwa na Wanawe.

COMMENTS

Name

Entertainment,110,Fashion,5,Health,5,Job,11,Lifestyle,2,Makala,6,Music,4,News,177,Sports,98,Videos,14,
ltr
item
Habari Today: Ngoma Nayoisikiliza Ni ‘ Seduce Me ’, Sio Ya Kishamba – Bibi Cheka
Ngoma Nayoisikiliza Ni ‘ Seduce Me ’, Sio Ya Kishamba – Bibi Cheka
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhf-W073tguf5n4R5CCd3L29CUpcBrLGkxBv9hVYDHDNYkda4_EtcEr_ODxmOh8wEtJdNdOP9NpztvIExs9yHy6TZsHxq9ygntiAOFJ91NtsoJeBdbCZaU4C32z32TD01uOdbFiktqgE3sh/s640/za-leo12-2.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhf-W073tguf5n4R5CCd3L29CUpcBrLGkxBv9hVYDHDNYkda4_EtcEr_ODxmOh8wEtJdNdOP9NpztvIExs9yHy6TZsHxq9ygntiAOFJ91NtsoJeBdbCZaU4C32z32TD01uOdbFiktqgE3sh/s72-c/za-leo12-2.jpg
Habari Today
http://habaritodaytzz.blogspot.com/2018/02/ngoma-nayoisikiliza-ni-seduce-me-sio-ya.html
http://habaritodaytzz.blogspot.com/
http://habaritodaytzz.blogspot.com/
http://habaritodaytzz.blogspot.com/2018/02/ngoma-nayoisikiliza-ni-seduce-me-sio-ya.html
true
7010127043980995099
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy