Nguvu Ya Msanii Ni kubwa Ila Media Ina Nafasi Yake – Q Chillah

Msanii wa muziki Bongo, Q Chillah amesema licha ya kuwa na njia mbali mbali za msanii kutangaza muziki wake bado atahitaji support ya me...


Msanii wa muziki Bongo, Q Chillah amesema licha ya kuwa na njia mbali mbali za msanii kutangaza muziki wake bado atahitaji support ya media.

Muimbaji huyo ambaye hivi karibuni ameachia ngoma mpya ‘Delailah’ ameambia FNL ya EATV kuwa ni vigumu kwa msanii kuwa juu ya media ingawa wote wanategemeana.

“Nguvu ya msanii ni kubwa ila media ina nafasi yake.” amesema Q Chillah.

“Media ni chombo muhimu sana ili msanii ajulikane ni lazima ajulikane kupitia media lakini power ya artist inawekana kwa sababu the more you push ndio unajipa fursa ya kupata nafasi nyingine ambako unatakiwa kufika,” amesisitiza.

COMMENTS

Name

Entertainment,110,Fashion,5,Health,5,Job,11,Lifestyle,2,Makala,6,Music,4,News,177,Sports,98,Videos,14,
ltr
item
Habari Today: Nguvu Ya Msanii Ni kubwa Ila Media Ina Nafasi Yake – Q Chillah
Nguvu Ya Msanii Ni kubwa Ila Media Ina Nafasi Yake – Q Chillah
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEh3F4Kyved3xSPp0ABThyFwW6fXpQghPeV4caNmKl0azZDe9Hu11JAGcswDAGTsj-9Qf3hwJ1VJ5OcZ-1reulNwWahu1QwV-iYK9ClHkZPGk4aY5D4P4lugb-_tWOtLvHmcGz104VLPXqnk/s640/dddddd.png
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEh3F4Kyved3xSPp0ABThyFwW6fXpQghPeV4caNmKl0azZDe9Hu11JAGcswDAGTsj-9Qf3hwJ1VJ5OcZ-1reulNwWahu1QwV-iYK9ClHkZPGk4aY5D4P4lugb-_tWOtLvHmcGz104VLPXqnk/s72-c/dddddd.png
Habari Today
http://habaritodaytzz.blogspot.com/2018/02/nguvu-ya-msanii-ni-kubwa-ila-media-ina.html
http://habaritodaytzz.blogspot.com/
http://habaritodaytzz.blogspot.com/
http://habaritodaytzz.blogspot.com/2018/02/nguvu-ya-msanii-ni-kubwa-ila-media-ina.html
true
7010127043980995099
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy