Nimekuwa Nikifuatilia Mazoezi Ya AJ Kwa Sasa Nipo Tayari – Parker

Mpinzani wa Anthony Joshua ambaye anatarajia kukutana naye mwezi ujao bondia, Joseph Parker amekiri kufuatilia mazoezi ya maandilizi ya ...


Mpinzani wa Anthony Joshua ambaye anatarajia kukutana naye mwezi ujao bondia, Joseph Parker amekiri kufuatilia mazoezi ya maandilizi ya Joshua katika kuelekea pambano lao Machi 31 mwaka huu.


Hayo yamekuja katika kipindi hiki ambacho Joshua amerejea katika kituo chake cha mazoezi huko Sheffield English Institute of Sport na kutupia picha ikionyesha namna mwili wake ulivyojengeka.


Parke alivyo ulizwa namna anavyo yaona mazoezi ya Joshua amesema “Ukimtazama na kuyaangalia mazoezi yake anayofanya ni kama anafanya vitu vipya na kuonekana kumuwia ugumu na kuonyesha kuwa anajiandaa kufikisha raundi 12, amesema Joseph Parker kupitia mahojiano yake na Sky Sport.

Pambano la Joseph Parker raia wa New Zealander  dhidi ya Muingereza Anthony Joshua linatarajiwa kufanyika  Las Vegas  katika uwanja wa Cardiff  Machi  31 mwaka huu.

COMMENTS

Name

Entertainment,110,Fashion,5,Health,5,Job,11,Lifestyle,2,Makala,6,Music,4,News,177,Sports,98,Videos,14,
ltr
item
Habari Today: Nimekuwa Nikifuatilia Mazoezi Ya AJ Kwa Sasa Nipo Tayari – Parker
Nimekuwa Nikifuatilia Mazoezi Ya AJ Kwa Sasa Nipo Tayari – Parker
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjnQuCdC3z6BKNITxw93waAcKA-G7hzm0skX1NGiuNMgF3erpHtQCYm__YgJTfqJD0fdOeN7BmYxsMZK9PgTyoe3SmdIm5e-7xKp41zGXuuWYirLWXN5ngBLkf3lozV100dMI1_HnIBVfsZ/s640/par+1.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjnQuCdC3z6BKNITxw93waAcKA-G7hzm0skX1NGiuNMgF3erpHtQCYm__YgJTfqJD0fdOeN7BmYxsMZK9PgTyoe3SmdIm5e-7xKp41zGXuuWYirLWXN5ngBLkf3lozV100dMI1_HnIBVfsZ/s72-c/par+1.jpg
Habari Today
http://habaritodaytzz.blogspot.com/2018/02/nimekuwa-nikifuatilia-mazoezi-ya-aj-kwa.html
http://habaritodaytzz.blogspot.com/
http://habaritodaytzz.blogspot.com/
http://habaritodaytzz.blogspot.com/2018/02/nimekuwa-nikifuatilia-mazoezi-ya-aj-kwa.html
true
7010127043980995099
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy