Nisingekuwa msanii ningekuwa mwanajeshi – Barakah The Prince

Msanii wa muziki Bongo, Baraka The Prince amedai iwapo asingeingia katika fani hiyo basi angekuwa mwanajeshi. Muimbaji huyo anayetamba ...


Msanii wa muziki Bongo, Baraka The Prince amedai iwapo asingeingia katika fani hiyo basi angekuwa mwanajeshi.

Muimbaji huyo anayetamba na ngoma ‘Sometimes’ amekiambia kipindi cha Eight cha TVE  kuna vitu visivyopungua vitano ambavyo vinamvutia kutoka kwa wanajeshi.

“Napenda mazoezi, napenda ule mchaka mchaka, napenda yale mavazi yao, napenda ile attitude yao, napenda ukarimu wao, yaani napenda the way walivyo,” ameema Baraka The Prince.

Barakah The Prince kwa sasa anafanya kazi zake chini ya label yake mpya Bana Music baada ya kuondoka RockStar4000 mwishoni mwa mwaka jana. Mwaka 2015 alishinda tuzo ya Kilimanjaro Music Awards (KTMA) kama msanii bora anayechipukia.

COMMENTS

Name

Entertainment,110,Fashion,5,Health,5,Job,11,Lifestyle,2,Makala,6,Music,4,News,177,Sports,98,Videos,14,
ltr
item
Habari Today: Nisingekuwa msanii ningekuwa mwanajeshi – Barakah The Prince
Nisingekuwa msanii ningekuwa mwanajeshi – Barakah The Prince
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjlFqoWmPADGCmB51qZAsTQm43Xd7XftXqixUmOIggVUiE2ODk01L5_Xll2PuTztB86mcvOnqv0RM1sxW7yCh-Nx-UMpV2arUUVNPhMkiwONF44vQh8UmOLd13mLp8uQqQ5xG2KTxylZsZh/s640/da.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjlFqoWmPADGCmB51qZAsTQm43Xd7XftXqixUmOIggVUiE2ODk01L5_Xll2PuTztB86mcvOnqv0RM1sxW7yCh-Nx-UMpV2arUUVNPhMkiwONF44vQh8UmOLd13mLp8uQqQ5xG2KTxylZsZh/s72-c/da.jpg
Habari Today
http://habaritodaytzz.blogspot.com/2018/02/nisingekuwa-msanii-ningekuwa-mwanajeshi.html
http://habaritodaytzz.blogspot.com/
http://habaritodaytzz.blogspot.com/
http://habaritodaytzz.blogspot.com/2018/02/nisingekuwa-msanii-ningekuwa-mwanajeshi.html
true
7010127043980995099
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy