Nyumba Ya Familia Ya GUPTA Yenye Ukaribu Na Rais Jacob Zuma Yazingirwa Na Polisi

Askari Polisi mjini Johannesburg nchini Afrika Kusini wameizingira nyumba ya familia ya kitajiri ya ‘Gupta’ ambayo ipo na mahusiano ya ...


Askari Polisi mjini Johannesburg nchini Afrika Kusini wameizingira nyumba ya familia ya kitajiri ya ‘Gupta’ ambayo ipo na mahusiano ya karibu na Rais wa Afrika Kusini Jacob Zuma.

Kwa mujibu wa mtandao wa Reuters umedai kuwa polisi wamezingira barabara zote zinazoingia kwenye eneo la nyumba za familia hiyo huku wakiwa na silaha nzito za kijeshi.

Msemaji wa jeshi la polisi mjini  Johannesburg, Hangwani Mulaudzi amethibitisha taarifa hizo lakini amekataa kutolea maelezo kwa nini nyumba hiyo ya kifahari imezingirwa na polisi.
Tangu mwaka 2015 familia ya Gupta imekuwa ikishutumiwa na viongozi wa upinzani nchini Afrika Kusini kuwa inahifadhi mali za wizi zinazoibwa serikalini na Rais Zuma.

Ulinzi huo umekuja katika kipindi hiki ambacho Chama cha ANC kwa sauti moja kimetoa tamko la kumshinikiza Rais Jacob Zuma kujiuzulu nafasi yake ya urais.

Jana chama hicho kilimpa masaa 48 Rais Jacob Zuma kujiuzulu urais huku mwenyewe akitaka apewe muda wa miezi mitatu hadi sita kuchukua uamuzi huo.

COMMENTS

Name

Entertainment,110,Fashion,5,Health,5,Job,11,Lifestyle,2,Makala,6,Music,4,News,177,Sports,98,Videos,14,
ltr
item
Habari Today: Nyumba Ya Familia Ya GUPTA Yenye Ukaribu Na Rais Jacob Zuma Yazingirwa Na Polisi
Nyumba Ya Familia Ya GUPTA Yenye Ukaribu Na Rais Jacob Zuma Yazingirwa Na Polisi
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhRgzJKUA1c1ZB57Cxd4Xwb_-2nMSLQN-3Umf2OBN8Fha8gqVSFINfKayoSH-J7iWX_AcBsZSEhYszM_7VtNLKbH5ujafrGCGs0SyGcebRqlVY0RfGeHXY_QPO6_jajNRXnV4kWO0RVkufy/s640/jupta.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhRgzJKUA1c1ZB57Cxd4Xwb_-2nMSLQN-3Umf2OBN8Fha8gqVSFINfKayoSH-J7iWX_AcBsZSEhYszM_7VtNLKbH5ujafrGCGs0SyGcebRqlVY0RfGeHXY_QPO6_jajNRXnV4kWO0RVkufy/s72-c/jupta.jpg
Habari Today
http://habaritodaytzz.blogspot.com/2018/02/nyumba-ya-familia-ya-gupta-yenye.html
http://habaritodaytzz.blogspot.com/
http://habaritodaytzz.blogspot.com/
http://habaritodaytzz.blogspot.com/2018/02/nyumba-ya-familia-ya-gupta-yenye.html
true
7010127043980995099
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy