OFISI YA RAIS - UTUMISHI Yatekeleza Mwongozo Wa Huduma Kwa WATUMISHI WA UMMA Wenye Ulemavu Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais – Menejimen...
OFISI YA RAIS - UTUMISHI Yatekeleza Mwongozo Wa Huduma Kwa WATUMISHI WA UMMA Wenye Ulemavu
Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais – Menejimenti ya Utumishi wa Umma,
Dkt. Laurean Ndumbaro akizungumza na Bw. Abbas Mpunga kabla ya
kumkabidhi Bajaji ili kumwezesha mtumishi huyo kutekeleza majukumu yake.
Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais – Menejimenti ya Utumishi wa Umma,
Dkt. Laurean Ndumbaro akizungumza na watumishi wa ofisi yake wakati wa
tukio la kumkabidhi Bajaji kwa mmoja wa watumishi wa ofisi yake
Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais – Menejimenti ya Utumishi wa Umma,
Dkt. Laurean Ndumbaro akikabidhi nyaraka za umiliki wa Bajaji kwa Bw.
Abbas Mpunga.
Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais – Menejimenti ya Utumishi wa Umma,
Dkt. Laurean Ndumbaro akikata utepe kabla kumkabidhi Bajaji mmoja wa
mtumishi wake Bw. Abbas Mpunga.
Bw. Abbas Mpunga akishuhudiwa na watumishi wenzake akiwa
katika Bajaji yake mara baada ya kukabidhiwa na Katibu Mkuu, Ofisi ya
Rais – Menejimenti ya Utumishi wa Umma, Dkt. Laurean Ndumbaro.
Bw. Abas Mpunga akipongezwa na mtumishi mwenzie mara baada ya
kukabidhiwa Bajaji na Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais – Menejimenti ya
Utumishi wa Umma, Dkt. Laurean Ndumbaro.
Bw. Abbas Mpunga akiwa na watumishi wenzake kabla ya
kukabidhiwa Bajaji na Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais – Menejimenti ya
Utumishi wa Umma, Dkt. Laurean Ndumbaro (hayupo pichani)
itakayomuwezesha kiutendaji.
COMMENTS