Okwi wa Bukoba akabidhiwa uzi wa Simba SC wenyewe

Yule kijana shabiki kindaki ndaki wa mshambuliaji wa Simba SC na timu ya taifa ya Uganda, Emmanuel Okwi, mkazi wa Bukoba leo amekabidhiw...


Yule kijana shabiki kindaki ndaki wa mshambuliaji wa Simba SC na timu ya taifa ya Uganda, Emmanuel Okwi, mkazi wa Bukoba leo amekabidhiwa rasmi jezi ya klabu hiyo yenye jina na namba la mchezaji huyo.

Kijana huyo aliyejulikana kwa jina la Adam Abubakary amekabidhiwa jezi hiyo kutoka kwa kiongozi wa mashabiki wa Simba mtandaoni anayefahamika kwa jina la J-Munyama wa Mabibo Dar es Salaam.


Okwi wa Bukoba ajitokeza kushuhudia Azam FC dhidi ya Kagera Sugar

Kijana huyo ambaye ni shabiki wa Simba SC alijitokeza kwenye gari ya matangazo ya Azam TV katika dimba la Kaitaba mjini Bukoba, Februari 11 mwaka huu wakati wa mchezo kati ya Kagera Sugar na Azam FC na kujitambulisha kuwa yeye ni shabiki mkubwa wa Simba SC.

COMMENTS

Name

Entertainment,110,Fashion,5,Health,5,Job,11,Lifestyle,2,Makala,6,Music,4,News,177,Sports,98,Videos,14,
ltr
item
Habari Today: Okwi wa Bukoba akabidhiwa uzi wa Simba SC wenyewe
Okwi wa Bukoba akabidhiwa uzi wa Simba SC wenyewe
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEj3UbLo6iWZqSYWm1y2A56MmBqUqX5aGMFSenfyBzogBlIPIksxvOlFeIARk2FXlkojI-PIxMUB9FeWy6Wc9OMvhU5zwHOnEoDa3CTOUDgScvf8YAPXS5qYt6RGsH5Oijh8HM-wcm04_Kxb/s640/kwi+2.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEj3UbLo6iWZqSYWm1y2A56MmBqUqX5aGMFSenfyBzogBlIPIksxvOlFeIARk2FXlkojI-PIxMUB9FeWy6Wc9OMvhU5zwHOnEoDa3CTOUDgScvf8YAPXS5qYt6RGsH5Oijh8HM-wcm04_Kxb/s72-c/kwi+2.jpg
Habari Today
http://habaritodaytzz.blogspot.com/2018/02/okwi-wa-bukoba-akabidhiwa-uzi-wa-simba.html
http://habaritodaytzz.blogspot.com/
http://habaritodaytzz.blogspot.com/
http://habaritodaytzz.blogspot.com/2018/02/okwi-wa-bukoba-akabidhiwa-uzi-wa-simba.html
true
7010127043980995099
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy