Pole Pole Aamtaka Mkurugenzi Halmashauri Ya Ilala Kutoa UfafanuziMikopo Wanayotoa

KATIBU wa Nec Itikadi na uenezi Taifa wa Chama cha Mapinduzi, Humphrey Polepole ameuagiza uongozi wa Chama hicho wilaya chini ya Ubaya ...


KATIBU wa Nec Itikadi na uenezi Taifa wa Chama cha Mapinduzi, Humphrey Polepole ameuagiza uongozi wa Chama hicho wilaya chini ya Ubaya Chuma kumuita mkurugenzi wa Halmashauri ya Ilala na wasaidizi wake ili kupata ufafanuzi kuhusu mikopo wanayotoa.
Amesema kuwa pamekuwepo na malalamiko mengi juu ya eneo hilo hivyo lazima viongozi hao wachama Wilaya kuwaita viongozi hao wa Halmashauri ili waje kueleza.

Polepole ambaye pia ni Mjumbe wa Halmashuri kuu aliyasema hayo katika kongamano la Maadhimisho ya miaka 41 ya kuzaliwa kwa Chama hicho. Ambapo pamoja na mambo mengine alisema viongozi hao wa Halmashauri waitwe ili waseme fedha hizo wanamkopesha nani.

“Hapa kuna Malalamiko mengi sana kuhusu mikopo hii nani anapewa sasa ndugu Mwenyekiti mwiteni mkurugenz na watu wake muulizeni hizo fedha anapewa nani “amesema Polepole
Nakuongeza kuwa wanachama hawa wa Chama cha Mapinduzi hawapati mikopo,wanamchi.maana hata kwenye maeneo ambako madiwani wa vyama vingine fedha zinakwenda kwa watu wao.

Wakati huohuo Pole amewataka Viongozi na Makada wa Jimbo la Ukonga kushikamana na kufanya kazi kwa uadilifu na upole Kwani kuvurugana kwao ndio kulisabanisha kupeteza jimbo hilo.
Amesema kulikuwa hakuna sababu kwa jimbo hilo kwenda upinzani wakati kijana mwenyewe aliyeshinda ni mtoto wao lakini kama wangesimamisha mtu pendwa jimbo hilo lisingekwenda upinzani.

Naye Mwenyekiti wa Chama hicho Wilaya ya Ilala Ubaya Chuma aliwataka wanachama hicho kutumia mitandao yao ya kijamii kuzungumzia mambo mazuri kuhusu chama na sikuzungumzia mambo ya hovyo.

” Nasema nitaaza kudili na Maadimini kwasababu hawezi watu wanaandika mambo ya hovyo alafu wanaachwa tu wanatukanwa viongozi lakini bado adimini yuko kimya. “amesema Chuma
Pia amesema amepokea maagizo ya Msemaji wa Chama hicho Taifa nakuhaidi kuwaita viongozi kutoka Halmashauri kama alivyoelekezwa na mkuu wake Taifa.

Kwaupande wake Kada wa Chama hicho ambaye ni Mwenyekiti wa Serikali ya Mtaa wa Mogo kata ya kipawa Geoge Mtambalike alisema ni hatua kubwa kuendelea kukienzi chama hicho kwa vitendo. Aliongeza

COMMENTS

Name

Entertainment,110,Fashion,5,Health,5,Job,11,Lifestyle,2,Makala,6,Music,4,News,177,Sports,98,Videos,14,
ltr
item
Habari Today: Pole Pole Aamtaka Mkurugenzi Halmashauri Ya Ilala Kutoa UfafanuziMikopo Wanayotoa
Pole Pole Aamtaka Mkurugenzi Halmashauri Ya Ilala Kutoa UfafanuziMikopo Wanayotoa
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEi4wXUYIXjPdtUqdzwg-RIDy8mR5CHyK26uW1MGRmny64VHHpfD2fF2WXceVZGesUrzzTMLbMDMmTIT5P4IEW-jicvBt4Ivuv4H7Dxj1LpEfI1htpszoi-an5iRMTBBl7S3WLFZ8JaNi6DX/s640/polepole.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEi4wXUYIXjPdtUqdzwg-RIDy8mR5CHyK26uW1MGRmny64VHHpfD2fF2WXceVZGesUrzzTMLbMDMmTIT5P4IEW-jicvBt4Ivuv4H7Dxj1LpEfI1htpszoi-an5iRMTBBl7S3WLFZ8JaNi6DX/s72-c/polepole.jpg
Habari Today
http://habaritodaytzz.blogspot.com/2018/02/pole-pole-aamtaka-mkurugenzi.html
http://habaritodaytzz.blogspot.com/
http://habaritodaytzz.blogspot.com/
http://habaritodaytzz.blogspot.com/2018/02/pole-pole-aamtaka-mkurugenzi.html
true
7010127043980995099
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy