PROF. JAY Amekataliwa Kumuona SUGU Gerezani

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Kanda ya Nyasa kimedai kuwa mbunge wa Mikumi, Joseph Haule ‘Prof. Jay na mkewe wamezuiliw...


CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Kanda ya Nyasa kimedai kuwa mbunge wa Mikumi, Joseph Haule ‘Prof. Jay na mkewe wamezuiliwa kuwanona Mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi ‘Sugu’ na Katibu wa CHADEMA Kanda ya Nyasa Emmanuel Masonga katika Gereza la Ruanda ambako wamewekwa mahabusu.

Mbunge wa Jimbo la Mikumi, Joseph Haule ‘Professor Jay’ akiwa ameambatana na Mkewe Grace Haule amefika Mbeya jana na leo tarehe 07 Februari 2018 ameenda katika Gereza la Ruanda mkoani humo kwa ajili ya kuwaona Mbunge wa Mbeya Mjini Mhe. Joseph Mbilinyi ‘Sugu’ na Katibu wa CHADEMA Kanda ya Nyasa Emmanuel Masonga ambapo amekataliwa kuwaona na uongozi wa Gereza hilo


Viongozi hao Sugu na Masonga wanaoshikiliwa kwa kunyimwa dhamana kesho Alhamisi tarehe 08 Februari 2018 watafikishwa mahakamani kwa ajili ya muendelezo wa kesi yao ambayo wanatuhumiwa kwa kutoa maneno ya fedheha.

COMMENTS

Name

Entertainment,110,Fashion,5,Health,5,Job,11,Lifestyle,2,Makala,6,Music,4,News,177,Sports,98,Videos,14,
ltr
item
Habari Today: PROF. JAY Amekataliwa Kumuona SUGU Gerezani
PROF. JAY Amekataliwa Kumuona SUGU Gerezani
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhn_vUdFvMpRPEp0mro2v9dSQCSkKzk4tYnipTnN8K9XY7O1rsKaNfqgpplLgw4m4TXH7AXuplb7jKGOfQI7jmnBp7EjerHDruXWbwv5ku7alDPDbwtniNSyDAnDbq_-A6JgyKQOuqhyM38/s640/uzibe.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhn_vUdFvMpRPEp0mro2v9dSQCSkKzk4tYnipTnN8K9XY7O1rsKaNfqgpplLgw4m4TXH7AXuplb7jKGOfQI7jmnBp7EjerHDruXWbwv5ku7alDPDbwtniNSyDAnDbq_-A6JgyKQOuqhyM38/s72-c/uzibe.jpg
Habari Today
http://habaritodaytzz.blogspot.com/2018/02/prof-jay-amekataliwa-kumuona-sugu.html
http://habaritodaytzz.blogspot.com/
http://habaritodaytzz.blogspot.com/
http://habaritodaytzz.blogspot.com/2018/02/prof-jay-amekataliwa-kumuona-sugu.html
true
7010127043980995099
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy