Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli amewataka viongozi wa dini na waumini nchini kujiepusha na migogor...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe
Magufuli amewataka viongozi wa dini na waumini nchini kujiepusha na
migogoro mbalimbali ambayo imekuwa ikiharibu sifa na heshima ya taasisi
hizo za dini.
Rais Magufuli amesema hayo leo Februari 4, 2018 alipo hudhuria ibada
ya kuwekwa wakfu kwa Askofu wa tano wa Kanisa la Anglikana Dayosisi ya
Dar es Salaam.
Soma taarifa;
Rais Magufuli akimpongeza Askofu wa Tano wa Kanisa la Anglikana Dayosisi ya Dar es salaam, Jackson S. Jackson
Soma taarifa;
COMMENTS