Rapper Yo Gotti kutoka Marekani, amemzawadia mwanae gari aina ya Benz Suv katika sherehe ya siku yake ya kuzaliwa. Yo Gotti amempati...
Rapper Yo Gotti kutoka Marekani, amemzawadia mwanae gari aina ya Benz Suv katika sherehe ya siku yake ya kuzaliwa.
Yo Gotti amempatia zawadi hiyo mtoto wake huyo wa kike, Kayla ambaye ametimiza miaka 16.
Baada ya kukabidhi zawadi hiyo, rapper huyo aliandika ujumbe kwenye mtandao wa Instagram unaosomeka, “Bought My Lil Benz For Her Birthday, She walked Out And Said “But Ion Know How To Drive” .. I Said Well Now You Motivated ! #HappyBirthday #Kayla #MyDaughter.”
COMMENTS