DROO ya 16 Bora ya Ligi ya Azam imefanyika hivi punde ambapo mabingwa watetezi wa ligi Kuu Tanzania Bara, Yanga SC wakipangwa kukutana n...
DROO ya 16 Bora ya Ligi ya Azam imefanyika hivi punde ambapo mabingwa watetezi wa ligi Kuu Tanzania Bara, Yanga SC wakipangwa kukutana na Majimaji ya Songea huku Azam yeye akikutana na Klabu ya Manispaa ya Kinondoni (KMC).
JKT Tanzania vs Ndanda FC
Stand United vs Dodoma FC
Kiluvya United vs Prisons
KMC v Azam FC
Majimaji FC vs Yanga
Singida United vs Polisi Tanzania
Njombe Mji vs Mbao Fc
Buselesele vs Mtibwa
Mechi hizo zitapigwa kati ya Februari 22 na 25 mwaka huu.
COMMENTS