Rekodi Mbaya Ya Mourinho St. James Park Yailiza Manchester United

Klabu ya soka ya Manchester United leo Jumapili Februari 11, 2018 imekubali kichapo cha bao 1-0 ugenini kutoka kwa klabu ya Newcastle U...


Klabu ya soka ya Manchester United leo Jumapili Februari 11, 2018 imekubali kichapo cha bao 1-0 ugenini kutoka kwa klabu ya Newcastle United kwenye mchezo wa Ligi Kuu soka England.

Goli la Newcastle United limefungwa na Matt Ritchie kunako dakika ya 65 ambapo kwa ushindi huo Mourinho anaendelea kuwa na rekodi mbaya kunako Uwanja wa St. James Park ambapo hajawahi kushinda mchezo wowote wa EPL kwenye uwanja huo.

Mourinho akiwa na Manchester United na Chelsea amefanikiwa kushinda mechi mbili tu kati ya tisa kwenye uwanja wa St. James Park huku mechi hizo mbili zikiwa ni za kombe la ligi EFL CUP.


Matokeo ya leo yanaiacha Manchester United ikisalia katika nafasi ya pili ikiwa na alama 56 ikiwaacha vinara manchester City wakiwa kileleni kwa pointi 72.

COMMENTS

Name

Entertainment,110,Fashion,5,Health,5,Job,11,Lifestyle,2,Makala,6,Music,4,News,177,Sports,98,Videos,14,
ltr
item
Habari Today: Rekodi Mbaya Ya Mourinho St. James Park Yailiza Manchester United
Rekodi Mbaya Ya Mourinho St. James Park Yailiza Manchester United
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjhAnALzXJrlMICpRBVq5ecSuIqNIavngHUDMyC_ZyltA_sSCgP38JAGBUY_XaCBw6VroLdVCfb9zgzNW5rVfiZOytU8J2DuOclJBk0O1eg2pg1rXDmA_jqccjWe7iMceGBiaVjqpFTj4He/s640/st+111.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjhAnALzXJrlMICpRBVq5ecSuIqNIavngHUDMyC_ZyltA_sSCgP38JAGBUY_XaCBw6VroLdVCfb9zgzNW5rVfiZOytU8J2DuOclJBk0O1eg2pg1rXDmA_jqccjWe7iMceGBiaVjqpFTj4He/s72-c/st+111.jpg
Habari Today
http://habaritodaytzz.blogspot.com/2018/02/rekodi-mbaya-ya-mourinho-st-james-park.html
http://habaritodaytzz.blogspot.com/
http://habaritodaytzz.blogspot.com/
http://habaritodaytzz.blogspot.com/2018/02/rekodi-mbaya-ya-mourinho-st-james-park.html
true
7010127043980995099
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy