Roger Federer Avunja Rekodi Na Kuweka Ya Kwake Katika Ulimwengu Wa Tennis

Mcheza tennis mwenye umri wa miaka 36, Roger Federer amekuwa mchezaji wa kwanza mwenye umri mkubwa zaidi kuwahi kutokea kwa zaidi ya mi...





Mcheza tennis mwenye umri wa miaka 36, Roger Federer amekuwa mchezaji wa kwanza mwenye umri mkubwa zaidi kuwahi kutokea kwa zaidi ya miaka mitano katika historia ya mchezo huo na kuvunja rekodi ya Andre Agassi aliyestaafu akiwa na umri wa miaka 33 mwaka 2003.

Federer ameandika historia hiyo baada ya hapo jana kushinda mchezo wake dhidi ya Robin Haase katika michuano ya dunia ya tennis ya ABN Amro inayo endelea huko Rotterdam.

Mchezaji huyo anayeshika nafasi ya pili katika viwango vya ubora duniani amesema kuwa anahitaji kuwa nafasi ya kwanza ambayo inashikiliwa na Rafael Nadal “Kushika nafasi ya kwanza nimoja ya lengo langu,”amesema Federa ambaye mchezo ujao anatarajia kukutana na Andreas Seppi aliyemshinda Muitalia Daniil Medvedev kwa seti 7-6(4) 4-6 6-3.

COMMENTS

Name

Entertainment,110,Fashion,5,Health,5,Job,11,Lifestyle,2,Makala,6,Music,4,News,177,Sports,98,Videos,14,
ltr
item
Habari Today: Roger Federer Avunja Rekodi Na Kuweka Ya Kwake Katika Ulimwengu Wa Tennis
Roger Federer Avunja Rekodi Na Kuweka Ya Kwake Katika Ulimwengu Wa Tennis
http://bongo5.com/wp-content/uploads/2018/02/skysports-federer-tennis-atp_4233158.jpg
Habari Today
http://habaritodaytzz.blogspot.com/2018/02/roger-federer-avunja-rekodi-na-kuweka.html
http://habaritodaytzz.blogspot.com/
http://habaritodaytzz.blogspot.com/
http://habaritodaytzz.blogspot.com/2018/02/roger-federer-avunja-rekodi-na-kuweka.html
true
7010127043980995099
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy