Ronaldo Arudisha Makali Yake La Liga, Aipeleka Madrid Nafasi Ya Tatu

Baada ya kuanza msimu mpya wa 2017/18 kwa kusuasua mshambuliaji wa Real Madrid, Cristiano Ronaldo jana usiku ameonesha makali yake kwa m...


Baada ya kuanza msimu mpya wa 2017/18 kwa kusuasua mshambuliaji wa Real Madrid, Cristiano Ronaldo jana usiku ameonesha makali yake kwa mara ya kwanza tangu uanze msimu huu kwa kupiga hat-trick kwenye mchezo ambao Madrid wameshinda goli 5-2 dhidi ya Real Sociedad.

Hii inakuwa Hat-trick yake ya kwanza kwa msimu huu 2017/18 na inakuwa ya 33 kwenye La Liga na ya 43 kwa Real Madrid kwenye michuano yote aliyoitumikia klabu hiyo.

Magoli mengine ya Real Madrid yamefungwa na Lucas Vazquez na Toni Kroos huku mawili ya Sociedad yakifungwa na Asier Illarramendi na Jon Bautista.


Kwa ushindi huo wa jana Madrid wanakuwa kwenye nafasi ya tatu kwa alama 42 nyuma ya mahasimu wao Atletico Madrid wenye alama 52 na vinara Barcelona wakiwa alama 58.

COMMENTS

Name

Entertainment,110,Fashion,5,Health,5,Job,11,Lifestyle,2,Makala,6,Music,4,News,177,Sports,98,Videos,14,
ltr
item
Habari Today: Ronaldo Arudisha Makali Yake La Liga, Aipeleka Madrid Nafasi Ya Tatu
Ronaldo Arudisha Makali Yake La Liga, Aipeleka Madrid Nafasi Ya Tatu
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgBL_ueo8X3nVIJWczd1yPsQ6tVxoh_J3RqTLHz47rVVjGHd_mgDIxTmtv3PqlEogYNkFAOX5UktkhpiH8VSnnmNiMVR7riXK3_0pVyM6jZWur8Uo9F44HCg_0PBFipgaqzqDRvK23_9UtT/s640/rona.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgBL_ueo8X3nVIJWczd1yPsQ6tVxoh_J3RqTLHz47rVVjGHd_mgDIxTmtv3PqlEogYNkFAOX5UktkhpiH8VSnnmNiMVR7riXK3_0pVyM6jZWur8Uo9F44HCg_0PBFipgaqzqDRvK23_9UtT/s72-c/rona.jpg
Habari Today
http://habaritodaytzz.blogspot.com/2018/02/ronaldo-arudisha-makali-yake-la-liga.html
http://habaritodaytzz.blogspot.com/
http://habaritodaytzz.blogspot.com/
http://habaritodaytzz.blogspot.com/2018/02/ronaldo-arudisha-makali-yake-la-liga.html
true
7010127043980995099
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy