Rose Ndauka: Natamani Kuongeza Mtoto Mwingine

Rose Ndauka MUIGIZAJI mwenye mikogo Bongo Muvi, Rose Ndauka amefunguka kuwa anatamani sana kuongeza mtoto mwingine kutokana na rah...


Rose Ndauka

MUIGIZAJI mwenye mikogo Bongo Muvi, Rose Ndauka amefunguka kuwa anatamani sana kuongeza mtoto mwingine kutokana na raha anayoipata kutoka kwa mtoto wake huyo wa kike aitwaye Naveen lakini bado hajapata wa kuongeza naye.


Akizungumza na Star Mix, Rose alisema kuwa, mtoto wake amekuwa akimpa faraja sana kila wakati hivyo kumpa hamu tena ya kuongeza mtoto mwingine ili azidishe furaha aliyonayo sasa. “Kwa kweli nisiwe muongo, natamani sana kuongeza mtoto mwingine maana nishaona ndiyo faraja yangu ila tatizo ni mwanaume wa kuzaa naye sijampata, hata hivyo Mungu ni mwema naamini atapatikana tu,” alisema Rose.

COMMENTS

Name

Entertainment,110,Fashion,5,Health,5,Job,11,Lifestyle,2,Makala,6,Music,4,News,177,Sports,98,Videos,14,
ltr
item
Habari Today: Rose Ndauka: Natamani Kuongeza Mtoto Mwingine
Rose Ndauka: Natamani Kuongeza Mtoto Mwingine
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhz1r10pIYAfSmw2cx7zpdGtCzKo5jrPbxfd_48gpEqqelfrlvxC-_8w767eGRl75TODwGr_Hv7muvLXxK7syKK98AYlBW8FxhNZR8qrP1acUW85djJX9ReJ7r6tsjYc60cVquOiNWBguw8/s640/ndauka.PNG
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhz1r10pIYAfSmw2cx7zpdGtCzKo5jrPbxfd_48gpEqqelfrlvxC-_8w767eGRl75TODwGr_Hv7muvLXxK7syKK98AYlBW8FxhNZR8qrP1acUW85djJX9ReJ7r6tsjYc60cVquOiNWBguw8/s72-c/ndauka.PNG
Habari Today
http://habaritodaytzz.blogspot.com/2018/02/rose-ndauka-natamani-kuongeza-mtoto.html
http://habaritodaytzz.blogspot.com/
http://habaritodaytzz.blogspot.com/
http://habaritodaytzz.blogspot.com/2018/02/rose-ndauka-natamani-kuongeza-mtoto.html
true
7010127043980995099
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy