Sakata La Babu Seya Laibuka Bungeni Tena

Mbunge wa Temeke kwa tiketi ya (CUF) Mhe. Abdalah Mtolea ameibua sakata la kusamehewa Babu Seya na mwanae, Johnson Nguza 'P...


Mbunge wa Temeke kwa tiketi ya (CUF) Mhe. Abdalah Mtolea ameibua sakata la kusamehewa Babu Seya na mwanae, Johnson Nguza 'Papii Kocha' na kusema halikuwa jambo jema kwa kuwa watu hao mahakama iliwabaini kuwa ni wabakaji.
Mtolea amesema hayo leo Februari 7, 2018 akiwa bungeni na kudai kitendo cha watu hao kuachiwa na kupewa heshima na Serikali ikiwa pamoja na kuwapandisha kwenye majukwaa mbalimbali na kuwapa ufadhili haileti picha nzuri kwa jamii. 
"Kwenye maadhimisho ya Uhuru wa Tanganyika ukatoka msamaha kwa Babu Seya na wenzake watu ambao pasipo na shaka mahakama zilithibitisha kwamba hawa watu ni wabakaji sasa tunapokuwa tunasamehe wabakaji uko wapi ulinzi wa watoto wa taifa hili,tunawapandisha kwenye majukwaa wafanye show yaani tunawaona kwamba ni kioo cha jamii je wanafundisha nini? Alihoji 
Mhe. Mtolea aliendelea kusema kuwa "Je, mnataka kwamba siku ya mwisho tukiwauliza watoto ukiwa mkubwa unataka kuwa kama nani aseme nataka kuwa mbakaji 
Babu Seya na mwanaye Papii wanategemea kuachia kazi yao mpya muda si mrefu baada ya kuiaanda mara tu baada ya kupewa msamaha na Rais John Pombe Magufuli

COMMENTS

Name

Entertainment,110,Fashion,5,Health,5,Job,11,Lifestyle,2,Makala,6,Music,4,News,177,Sports,98,Videos,14,
ltr
item
Habari Today: Sakata La Babu Seya Laibuka Bungeni Tena
Sakata La Babu Seya Laibuka Bungeni Tena
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjsewoNR7MFXcHqUxk4AABKeTe3jIA-7p3DWzNQD8SNe2sry9r1ruvJaWirpbORMjkVTSAY4skTiu9RPH11cyUTAA5u20ktLYHLToK4HHpY6YR-9Q52sH6kqj0MFdjAM-ALedeBMY0EiJj6/s640/Babu+Seya.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjsewoNR7MFXcHqUxk4AABKeTe3jIA-7p3DWzNQD8SNe2sry9r1ruvJaWirpbORMjkVTSAY4skTiu9RPH11cyUTAA5u20ktLYHLToK4HHpY6YR-9Q52sH6kqj0MFdjAM-ALedeBMY0EiJj6/s72-c/Babu+Seya.jpg
Habari Today
http://habaritodaytzz.blogspot.com/2018/02/sakata-la-babu-seya-laibuka-bungeni-tena.html
http://habaritodaytzz.blogspot.com/
http://habaritodaytzz.blogspot.com/
http://habaritodaytzz.blogspot.com/2018/02/sakata-la-babu-seya-laibuka-bungeni-tena.html
true
7010127043980995099
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy