Sauti Sol Waungana Na Maelfu Ya Wakenya Kupinga Unyanyaswaji Wa MaDJ’s

Kundi la muziki kutoka nchini Kenya, Sauti Sol limeungana na maelfu ya Wakenya mtandaoni kupinga hatua ya serikali ya jiji la Nairobi k...


Kundi la muziki kutoka nchini Kenya, Sauti Sol limeungana na maelfu ya Wakenya mtandaoni kupinga hatua ya serikali ya jiji la Nairobi kuwakamata MaDeej’s wanaopiga muziki kuanzia saa sita usiku kwa madai kuwa wanachafua mazingira kwa makelele.

Sauti Sol wamesema kuwa huwezi kukamilisha muziki katika klabu kama hakutakuwa na DJ, Hakuna mtu mwingine atakayefanya sherehe yako inoge kama hautakuwa na Dj na kutamka rasmi kuwa wanaungana na Wakenya wenzao katika kutafuta haki juu ya ukamatwaji wa MaDJ’s ambao wanajitafutia riziki kupitia mikono yao.

As an artist, who do you turn to for support when you have new content out? As a fan, who do you go to when you’re at a party, event or in the club and want to request for your fav joint? The Dj! Therefore, let’s all join the thread and show support for our DJs.“wameandika Sauti Sol kupitia ukurasa wao wa Twitter.

Maelfu ya Wakenya jana na leo wameanzisha mtandaoni Hashtag maalumu ya #StopArrestingDJs kuishinikiza serikali na Gavana wa Jiji la Nairobi, Miko Sonko kuwaachia maDJs wote waliokamatwa kuanzia wikiendi iliyopita.

Kikosi hicho kinachowakamata MaDJs kinaongozwa na Jeshi la Polisi kushirikiana na watu wa Mamlaka ya Mazingira nchini Kenya (NEMA) na mpaka leo asubuhi Madeej’s wawili Riggz na Tremor pekee ndio walioachiwa kwa dhamana huku wengine wakiwa bado wameshikiliwa.
Hata hivyo, Jana DJ maarufu nchini Kenya Creme del a creme alienda hadi Kituo Kikubwa cha Polisi jijini Nairobi na kufanikiwa kuwatoa Madeej’s wawili walioshikwa kutoka  Alchemist club.

Watu wengi nchini Kenya wamelaumu hatua hivyo wakidai kuwa ni unyanyasi huku wakitaka hatua hiyo ianzie kwa wamiliki wa Club na kumbi za starehe na sio kuwakamata moja kwa moja Madeej’s.

Wasanii na watu maarufu nchini Kenya wameshaunga mkono kampeni hiyo mitandaoni kushinikiza Madeej’s wasikamatwe .

COMMENTS

Name

Entertainment,110,Fashion,5,Health,5,Job,11,Lifestyle,2,Makala,6,Music,4,News,177,Sports,98,Videos,14,
ltr
item
Habari Today: Sauti Sol Waungana Na Maelfu Ya Wakenya Kupinga Unyanyaswaji Wa MaDJ’s
Sauti Sol Waungana Na Maelfu Ya Wakenya Kupinga Unyanyaswaji Wa MaDJ’s
https://3.bp.blogspot.com/-9eo0iMcR3CA/WoKEO4AJiAI/AAAAAAAACBc/Ppx8PesUusgRjKvlHzemmpxQTZ9G6AfWQCLcBGAs/s640/saut.jpg
https://3.bp.blogspot.com/-9eo0iMcR3CA/WoKEO4AJiAI/AAAAAAAACBc/Ppx8PesUusgRjKvlHzemmpxQTZ9G6AfWQCLcBGAs/s72-c/saut.jpg
Habari Today
http://habaritodaytzz.blogspot.com/2018/02/sauti-sol-waungana-na-maelfu-ya-wakenya.html
http://habaritodaytzz.blogspot.com/
http://habaritodaytzz.blogspot.com/
http://habaritodaytzz.blogspot.com/2018/02/sauti-sol-waungana-na-maelfu-ya-wakenya.html
true
7010127043980995099
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy