Kesi inayomkabili muigizaji wa filamu nchini Tanzania, Wema Sepetu ya kutumia madawa ya kulevya imeahirishwa mpaka February 26, mwaka hu...
Kesi inayomkabili muigizaji wa filamu nchini Tanzania, Wema Sepetu ya kutumia madawa ya kulevya imeahirishwa mpaka February 26, mwaka huu.
Ambapo leo tena shahidi wa upande wa mashtaka Inspekta Willy ametoa ushahidi wa sampuli ya mkojo wa Wema alioupeleka kwa mkemia mkuu wa serikali kufanyiwa vipimo zaidi.
Awali ushahidi huo ulikataliwa mahakamani hapo na aliyekuwa wakili wa Wema wa kujitolea, Mhe. Tundu Lissu .
COMMENTS