Shemeji Wa Dj Khaled Auawa Katika Dili La Madawa Ya Kulevya

Mdogo wake na mpenzi wa DJ Khaled amepigwa risasi na kufa katika nyumba iliopo Bronx, New york nchini marekani Jumapili usiku. Jonathan ...


Mdogo wake na mpenzi wa DJ Khaled amepigwa risasi na kufa katika nyumba iliopo Bronx, New york nchini marekani Jumapili usiku. Jonathan Tuck ambaye ndiye mdogo wa mpenzi wa DJ Khaled Nicole Tuck aliuawa baada ya mpango wa kuuziana madawa ya kulevya kwenda vibaya.

Jonathan alikuwa akijaribu kununua bangi na ghafla mtu alimsogelea na kummiminia risasi usoni majira ya saa tatu usiku siku ya Jumapili katika ghorofa moja iliopo Belmont ambayo haipo mbali sana na nyumbani kwake iliopo Bronx, kutokana na ripoti za NY Daily News. Alipelekwa Hospitali ya St. Barnabas ambako kwa bahati mbaya alikufa.

Polisi wa jiji la New York wanachunguza juu ya jambo lakini tukio hilo limefanyika baada ya kutoea mgongano katika dili hilo la kuuziana bangi. Polisi kwa sasa wanamshikilia wamechukua mtu mwenye umri wa miaka 34 kwa ajili ya kumhoji maswali, lakini bado hawajapata uhakika kama yeye ndiye muuaji.


Jonathan ( kushoto ) akiwa na rafiki yake [/caption]

Jonathan Tuck na dada yake walikuwa karibu, kulingana na rafiki yake wa zamani Brandon Davis. DJ Khaled alikuwa katika Minneapolis kwenye tamasha la Super Bowl wakati Tuck alipouawa.

COMMENTS

Name

Entertainment,110,Fashion,5,Health,5,Job,11,Lifestyle,2,Makala,6,Music,4,News,177,Sports,98,Videos,14,
ltr
item
Habari Today: Shemeji Wa Dj Khaled Auawa Katika Dili La Madawa Ya Kulevya
Shemeji Wa Dj Khaled Auawa Katika Dili La Madawa Ya Kulevya
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgsPjTh05WI6CrpxmXKXffckxjRfLv-oML1ZhpNz_CEtPfeQw2vw_X9Sx88LyF6ePhXr5q0gXReNTDFyPRDB2F-7l3tu1qGhOUQ0_VwKPPQdM0lDXpPbo3QS8uh_tj5bdX_pLN5kmDF0EAs/s640/dj22.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgsPjTh05WI6CrpxmXKXffckxjRfLv-oML1ZhpNz_CEtPfeQw2vw_X9Sx88LyF6ePhXr5q0gXReNTDFyPRDB2F-7l3tu1qGhOUQ0_VwKPPQdM0lDXpPbo3QS8uh_tj5bdX_pLN5kmDF0EAs/s72-c/dj22.jpg
Habari Today
http://habaritodaytzz.blogspot.com/2018/02/shemeji-wa-dj-khaled-auawa-katika-dili.html
http://habaritodaytzz.blogspot.com/
http://habaritodaytzz.blogspot.com/
http://habaritodaytzz.blogspot.com/2018/02/shemeji-wa-dj-khaled-auawa-katika-dili.html
true
7010127043980995099
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy