Sijawahi kumwambia mtu nataka milioni 150 – Obrey Chirwa

Mshambuliaji wa klabu ya Yanga raia wa Zambia, Obrey Chirwa amekana kuhitaji kiasi cha shilingi milioni 150 katika mkataba wake mpya na...


Mshambuliaji wa klabu ya Yanga raia wa Zambia, Obrey Chirwa amekana kuhitaji kiasi cha shilingi milioni 150 katika mkataba wake mpya nakusema kuwa watu ndiyo wanamzushia maswala hayo.
Mshambuliaji wa klabu ya Yanga SC, Obrey Chirwa akifanya mazoezi mepesi

Video Player
00:00
00:59

Mshambuliaji huyo wazamani wa klabu ya FC Platinum amefika mbali zaidi na kusema kuwa kuumia kwake katika mchezo dhidi ya Majimaji kunahusishwa na kugoma kwake nbdani ya kikosi cha Yanga SC.

“Sijawahi kusema wala kumwambia mtu yeyote kuwa nataka 150M kwa ajili ya mkataba mpya, sipendezwi na namna wanavyonizushia,nadhani nia yao ni kunigombanisha na wapenzi wa Yanga.
Niliumia kwenye mchezo dhidi ya Majimaji ajabu wanasema nimegoma, huu ni upuuzi,mimi ni mchezaji wa Yanga, mimi na klabu ndiyo wenye kujua hatima yangu ya baadae,niacheni nicheze mpira”. – OBREY CHIRWA.

COMMENTS

Name

Entertainment,110,Fashion,5,Health,5,Job,11,Lifestyle,2,Makala,6,Music,4,News,177,Sports,98,Videos,14,
ltr
item
Habari Today: Sijawahi kumwambia mtu nataka milioni 150 – Obrey Chirwa
Sijawahi kumwambia mtu nataka milioni 150 – Obrey Chirwa
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhZBdvI13xfm_kR8zn8DcTc6NWlv3YFsRJ4Y6-t8OH3Ef2VoYbgGhfiVZkGqboF_Sul7DdLsrIR6_5cIichC1DPX3CxxVp8Dk6-ShuwW_uslXmu_f3gdsvjzvQB0OChJAVyTo8h6C671q4w/s640/chirwa.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhZBdvI13xfm_kR8zn8DcTc6NWlv3YFsRJ4Y6-t8OH3Ef2VoYbgGhfiVZkGqboF_Sul7DdLsrIR6_5cIichC1DPX3CxxVp8Dk6-ShuwW_uslXmu_f3gdsvjzvQB0OChJAVyTo8h6C671q4w/s72-c/chirwa.jpg
Habari Today
http://habaritodaytzz.blogspot.com/2018/02/sijawahi-kumwambia-mtu-nataka-milioni.html
http://habaritodaytzz.blogspot.com/
http://habaritodaytzz.blogspot.com/
http://habaritodaytzz.blogspot.com/2018/02/sijawahi-kumwambia-mtu-nataka-milioni.html
true
7010127043980995099
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy