Sikubaliani Na Kupigwa Marufuku Mikutano Ya Kisiasa – Dkt. Slaa

Aliyekuwa Katibu Kuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Dkt.  Wilbroad Slaa amefunguka baada ya katazo kwa vyama vya siasa ...


Aliyekuwa Katibu Kuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Dkt.  Wilbroad Slaa amefunguka baada ya katazo kwa vyama vya siasa kuendesha mikutano ya hadhara.

Dkt. Slaa ambaye kwa sasa ni Balozi amekiambia kituo cha runinga cha Clouds kuwa hakubaliana na jambo hilo kwa sababu uwepo wa mikutano hiyo ni kitu ambacho kilipitishwa na bunge.
“Mimi sikubaliani na jambo la kupigwa marufuku kwa mikutano ya kisiasa kwa jambo lililopitishwa na Mhe. Rais kwa maneno tu sababu Rais hafanyi kazi kwa maneno na hili jambo lilipitishwa na bunge iweje sasa mtu mmoja azuie,” amesema.

Katika hatua nyingine Dkt. Slaa amesema yeye ni muumini wa Demokrasia na anapenda uwepo wa vyama vingi ila muelekeo wa kisiasa nchini kwasasa haumfurahishi.


“Mimi nilijiuzulu siasa ya vyama vingi pia katika tafsiri yangu huwezi kuachana na siasa sababu ni maisha, lakini nilisema kuwa nitakuwa tayari kupigia kelele jambo lolote lile lenye maslahi kitaifa,” amesema Dkt. Slaa.

COMMENTS

Name

Entertainment,110,Fashion,5,Health,5,Job,11,Lifestyle,2,Makala,6,Music,4,News,177,Sports,98,Videos,14,
ltr
item
Habari Today: Sikubaliani Na Kupigwa Marufuku Mikutano Ya Kisiasa – Dkt. Slaa
Sikubaliani Na Kupigwa Marufuku Mikutano Ya Kisiasa – Dkt. Slaa
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEi02g9r8EVRa8Ue7ZgNEDApIlGFd0LjneWmDELizvEnSg2YdpV7UgZavqlntDMpvTAFq9fKU9JMiutRf0yl9gL4yfT9Yl6Od0C6zSK_DWDy7jn_Am-YpzW_htB-bYziYpO44R3e54vmBSmQ/s640/Slaa1.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEi02g9r8EVRa8Ue7ZgNEDApIlGFd0LjneWmDELizvEnSg2YdpV7UgZavqlntDMpvTAFq9fKU9JMiutRf0yl9gL4yfT9Yl6Od0C6zSK_DWDy7jn_Am-YpzW_htB-bYziYpO44R3e54vmBSmQ/s72-c/Slaa1.jpg
Habari Today
http://habaritodaytzz.blogspot.com/2018/02/sikubaliani-na-kupigwa-marufuku.html
http://habaritodaytzz.blogspot.com/
http://habaritodaytzz.blogspot.com/
http://habaritodaytzz.blogspot.com/2018/02/sikubaliani-na-kupigwa-marufuku.html
true
7010127043980995099
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy