Sikutamani kukutana na Chelsea – Valverde

Kocha mkuu wa Barcelona, Ernesto Valverde amesema kuwa alitamani timu ya Chelsea ingeshinda katika kundi lake na kuongoza ili tu asikuta...


Kocha mkuu wa Barcelona, Ernesto Valverde amesema kuwa alitamani timu ya Chelsea ingeshinda katika kundi lake na kuongoza ili tu asikutane nayo katika hatua hii ya 16 bora kwakuwa kila wanapokutana wanakuwa na wakati mgumu kwao dhidi ya mabingwa hao watetezi wa Uingereza.

Akizungumza na vyombo vya habari, Valverde amesema alitarajia kuikwepa Chelsea katika hatua hizi za awali lakini amesisitiza kuwa wachezaji wake wapo tayari kwajili ya mchezo huo.“Tulitarajia Chelsea wangeshinda na kuongoza kundi na wangefanikiwa hilo tusingekutana nao, lakini tunakuwa na wakati mgumu sana tunapokutana nao,” amesema Valverde.

‘”Wamekuwa katika kiwango kizuri Hazard, Morata, Pedro na Willian wana ubora wa hali ya juu hapa nawazungumzia mabingwa wa sasa wa ligi ya Uingereza ambao tunakwenda kukutana nao.”

Timu hizi zilitoka sare michezo yake ya mwisho na kumaliza nafasi ya pili wakati Chelsea wakiwa nyuma ya Roma katika kundi C  na sasa wachezaji wa Barcelona wapo katika dimba la Stamford Bridge wakijiandaa dhidi ya wenyeji wao mchezo unaotarajiwa kupigwa leo siku ya Jumamosi usiku.

COMMENTS

Name

Entertainment,110,Fashion,5,Health,5,Job,11,Lifestyle,2,Makala,6,Music,4,News,177,Sports,98,Videos,14,
ltr
item
Habari Today: Sikutamani kukutana na Chelsea – Valverde
Sikutamani kukutana na Chelsea – Valverde
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjEmYmL_b7XnnHifubMWpeIGV3BDh2yViv5aoaXlvQ7ybUB4G29hyphenhyphenBtV_I9PzhDRCLKdhYJxxP9l6szDdQPYGyhEu1fGbQYjCsGofyzstcLXDHjDn5sBuQJe0_sH-Xqkv0Xkwp80oE7PNMl/s640/vol.png
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjEmYmL_b7XnnHifubMWpeIGV3BDh2yViv5aoaXlvQ7ybUB4G29hyphenhyphenBtV_I9PzhDRCLKdhYJxxP9l6szDdQPYGyhEu1fGbQYjCsGofyzstcLXDHjDn5sBuQJe0_sH-Xqkv0Xkwp80oE7PNMl/s72-c/vol.png
Habari Today
http://habaritodaytzz.blogspot.com/2018/02/sikutamani-kukutana-na-chelsea-valverde.html
http://habaritodaytzz.blogspot.com/
http://habaritodaytzz.blogspot.com/
http://habaritodaytzz.blogspot.com/2018/02/sikutamani-kukutana-na-chelsea-valverde.html
true
7010127043980995099
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy