Simba SC Yaonesha Matumaini Kwa Watanzania Kombe La Shirikisho Afrika

Klabu ya Simba huenda ikawatoa kimasomaso Watanzania kwenye michuano mikubwa barani Afrika ya Kombe la Shirikisho kutokana na ushindi ...


Klabu ya Simba huenda ikawatoa kimasomaso Watanzania kwenye michuano mikubwa barani Afrika ya Kombe la Shirikisho kutokana na ushindi mnono wa leo wa goli 4-0 dhidi ya klabu ya Gendamarie Tnale kutoka nchini Djibouti.

Magoli ya Simba yamefungwa na John Bocco 33′, 44′ , Emannuel Okwi 90+ na Said Ndemla kunako dakika ya 2 ya mchezo.

Kwa ushindi huo hakuna shaka kuwa Simba watafanikiwa kusonga mbele kwenye mchezo wa marudiano hii ni kwa jinsi kikosi cha Gendamarie Tnale kilivyo hakitakuwa na uwezo wa kumtwanga mnyama goli 5-0 ili kusonga mbele ingawaje mpira haupo hivyo ila Simba wameonesha matumaini kwa Watanzania.


Hayo yamejiri wakati ambapo mahasimu wao Klabu ya Yanga jana wamepata ushindi  mwembamba wa goli 1-0  dhidi ya St Louis mchezo wa klabu bingwa Afrika raundi ya kwanza uliopigwa uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.

COMMENTS

Name

Entertainment,110,Fashion,5,Health,5,Job,11,Lifestyle,2,Makala,6,Music,4,News,177,Sports,98,Videos,14,
ltr
item
Habari Today: Simba SC Yaonesha Matumaini Kwa Watanzania Kombe La Shirikisho Afrika
Simba SC Yaonesha Matumaini Kwa Watanzania Kombe La Shirikisho Afrika
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEi7oMDXUMd3C63bLy-80RXxrQwGb9UOqdWrw8NTQfhpgtQidmxLIl4p6rD_JHXbnrKgHkTXI6C9Lu-JioFH7sCERTalN8qh04I-RyaUBaDllx1x54fsjC3JAM7bs8w4pCxz3ztKdEiy2ebZ/s640/boko.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEi7oMDXUMd3C63bLy-80RXxrQwGb9UOqdWrw8NTQfhpgtQidmxLIl4p6rD_JHXbnrKgHkTXI6C9Lu-JioFH7sCERTalN8qh04I-RyaUBaDllx1x54fsjC3JAM7bs8w4pCxz3ztKdEiy2ebZ/s72-c/boko.jpg
Habari Today
http://habaritodaytzz.blogspot.com/2018/02/simba-sc-yaonesha-matumaini-kwa.html
http://habaritodaytzz.blogspot.com/
http://habaritodaytzz.blogspot.com/
http://habaritodaytzz.blogspot.com/2018/02/simba-sc-yaonesha-matumaini-kwa.html
true
7010127043980995099
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy