Simba SC Yatoa Mchezaji Bora Wa VPL Kwa Mwezi Januari, 2018

Klabu ya Simba imetoa mchezaji bora wa Ligi Kuu Soka Tanzania Bara kwa mwezi Januari, 2018 ambapo mshambuliaji wake, John Bocco ametajwa...


Klabu ya Simba imetoa mchezaji bora wa Ligi Kuu Soka Tanzania Bara kwa mwezi Januari, 2018 ambapo mshambuliaji wake, John Bocco ametajwa kuwa ndiye mchezaji bora kwa mwezi huo.

Bocco amewashinda wachezaji wenzake akina Emmanuel Okwi na Awesu Awesu wa Mwadui kutokana na uchambuzi uliofanywa na Kamati ya Tuzo za VPL.

Kwa mwezi Januari, Bocco ameisaidia Simba kupata pointi 9 katika michezo mitatu aliyocheza na kuendelea kubaki kileleni mwa msimamo wa ligi, huku akifunga mabao matatu na kutoa pasi mbili za usaidizi wa mabao.


Mshambuliaji huyo aliyesajiliwa na Simba msimu huu amecheza dakika zote 270 za michezo mitatu ya Simba mwezi Januari huku akionesha kiwango kikubwa katika kila mchezo.

COMMENTS

Name

Entertainment,110,Fashion,5,Health,5,Job,11,Lifestyle,2,Makala,6,Music,4,News,177,Sports,98,Videos,14,
ltr
item
Habari Today: Simba SC Yatoa Mchezaji Bora Wa VPL Kwa Mwezi Januari, 2018
Simba SC Yatoa Mchezaji Bora Wa VPL Kwa Mwezi Januari, 2018
https://3.bp.blogspot.com/-Z3pqDLZOXsk/WoAsDUxnUgI/AAAAAAAAB3U/dmlokHQ5UIwFfzrQ2W2w1A9_k9mz1GqowCLcBGAs/s640/mwez.jpg
https://3.bp.blogspot.com/-Z3pqDLZOXsk/WoAsDUxnUgI/AAAAAAAAB3U/dmlokHQ5UIwFfzrQ2W2w1A9_k9mz1GqowCLcBGAs/s72-c/mwez.jpg
Habari Today
http://habaritodaytzz.blogspot.com/2018/02/simba-sc-yatoa-mchezaji-bora-wa-vpl-kwa.html
http://habaritodaytzz.blogspot.com/
http://habaritodaytzz.blogspot.com/
http://habaritodaytzz.blogspot.com/2018/02/simba-sc-yatoa-mchezaji-bora-wa-vpl-kwa.html
true
7010127043980995099
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy