Siri Yafichuka Kivuruge Ya Nandy

IMEFICHUKA! Ile Ngoma ya Kivuruge iliyoimbwa na msanii zao la Jumba la Kuibua Vipaji ‘THT’, Faustina Charles ‘Nandy’ kumbe ilishawahi k...


IMEFICHUKA! Ile Ngoma ya Kivuruge iliyoimbwa na msanii zao la Jumba la Kuibua Vipaji ‘THT’, Faustina Charles ‘Nandy’ kumbe ilishawahi kuimbwa na msanii kutoka THT, Juma Said ‘Jay Melody’.

Akizungumza na Full Shangwe, Jay Melody ambaye anatamba na Wimbo wa Goroka ambao upo namba mbili katika chati za Top 20, Clouds FM alisema, alifuatwa na Nandy baada ya kuutoa Wimbo wa Kivuruge na kuomba aurudie.


“Nandy alinifuata baada ya kusikia nimeutoa, akaniomba kuurudia basi tukakubaliana na uongozi wake nikampatia, kwa hiyo ni mimi ndiye niliutunga na hakuna hata mstari uliobadilika,” alisema Jay Melody.

Full Shangwe ilimtafuta Nandy kujua ukweli juu ya wimbo huo ambapo alisema;
“Ni kweli uliimbwa na Jay Melody na kuna makubaliano tuliyafikia ndiyo nikaurudia.”

Nandy pia anatamba na vibao kadhaa vikiwemo One Day, Nagusa Gusa na Wasikudanganye.

COMMENTS

Name

Entertainment,110,Fashion,5,Health,5,Job,11,Lifestyle,2,Makala,6,Music,4,News,177,Sports,98,Videos,14,
ltr
item
Habari Today: Siri Yafichuka Kivuruge Ya Nandy
Siri Yafichuka Kivuruge Ya Nandy
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEigwnjwJr4kYf9ZLajBDAPErXmVyCElAwN7VTI1WYCH_0Y7cCAsUCCRFumMuKpey9nrkoBFTL5U9aDkrE8FKX9R19AUaGbcpkYv1DcjfwoBeVvMZRDXvh86pe8a3T3pSr22J1sR6IbJJF4Y/s640/nandyy.png
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEigwnjwJr4kYf9ZLajBDAPErXmVyCElAwN7VTI1WYCH_0Y7cCAsUCCRFumMuKpey9nrkoBFTL5U9aDkrE8FKX9R19AUaGbcpkYv1DcjfwoBeVvMZRDXvh86pe8a3T3pSr22J1sR6IbJJF4Y/s72-c/nandyy.png
Habari Today
http://habaritodaytzz.blogspot.com/2018/02/siri-yafichuka-kivuruge-ya-nandy.html
http://habaritodaytzz.blogspot.com/
http://habaritodaytzz.blogspot.com/
http://habaritodaytzz.blogspot.com/2018/02/siri-yafichuka-kivuruge-ya-nandy.html
true
7010127043980995099
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy