Siwezi Kufanya Kazi Na Mtu Kama Sijaendana Naye – Rosa Ree

Msanii wa muziki Rosa Ree amesema ni vigumu kwa yeye kufanya kazi na msanii endapo haendani naye. Rapper huyo anayetamba na ngoma yak...


Msanii wa muziki Rosa Ree amesema ni vigumu kwa yeye kufanya kazi na msanii endapo haendani naye.

Rapper huyo anayetamba na ngoma yake mpya ‘Marathon’ amesema hayo wakati akieleza sababu ya kumshirikisha Bill Nass katika ngoma hiyo.

“Bill Nass kabisa ni mshakaji wangu, ni mtu ambaye tuna-vibe pamoja sana as person yeye ni poa sana na mimi napenda watu ambao wapo OG, cha pili mimi siwezi kufanya kazi na mtu ambaye sina vibe naye, mtu ambaye hana positive vibe,” Rosa Ree ameiambia Bongo5.


Ameongeza kuwa kuzaliwa kwa ngoma hiyo kulitokana na idea aliyokuwa nayo hapo awali na Bill Nass alipokuja na yake ikawa kazi rahisi kuikamilisha ..

COMMENTS

Name

Entertainment,110,Fashion,5,Health,5,Job,11,Lifestyle,2,Makala,6,Music,4,News,177,Sports,98,Videos,14,
ltr
item
Habari Today: Siwezi Kufanya Kazi Na Mtu Kama Sijaendana Naye – Rosa Ree
Siwezi Kufanya Kazi Na Mtu Kama Sijaendana Naye – Rosa Ree
https://3.bp.blogspot.com/-Srevc8qxq9E/WoF91UDdx2I/AAAAAAAAB7s/9IumwUaNN6cregcOHfyo8uT8dzepmxNsgCLcBGAs/s640/reeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee.jpg
https://3.bp.blogspot.com/-Srevc8qxq9E/WoF91UDdx2I/AAAAAAAAB7s/9IumwUaNN6cregcOHfyo8uT8dzepmxNsgCLcBGAs/s72-c/reeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee.jpg
Habari Today
http://habaritodaytzz.blogspot.com/2018/02/siwezi-kufanya-kazi-na-mtu-kama.html
http://habaritodaytzz.blogspot.com/
http://habaritodaytzz.blogspot.com/
http://habaritodaytzz.blogspot.com/2018/02/siwezi-kufanya-kazi-na-mtu-kama.html
true
7010127043980995099
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy